Magari ya Kizamani Unayakumbuka?

nimekubal,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,peugeot sijaziona hapo!!
 

Kitu Mgongo wa Chura Brand New kitu cha mwaka 1949 kweusi

Oh my...my dad used to have this...kila akinunua gari ni mgongo wa chura tuuuu...kilikua kinabamizwa ila kipo tu..so durable
 
daa apo unanikumbusha mbali sana,,,,,,,,,,,,,,,,,,! 504............hzo gari zilikuwa balaa 2pu
 


Kitu hicho Old Model cha kubebea Mbege Toyota Stout...

Ila Pegiout hazitembei mkuu Spare ni issue wengi wamezipaki uwani tu



 
Jiefong la Ukweli






Haya Magari Walikuja Wachina wakayanunua nadhani karibu yote... Walikuwa wakikuta nayo wanakupa ile Jiefang Mpya unawaachia ngara ngara nadhani yalikuwa yanatumia Petrol
 
Renault hii kitu Spana kila siku

 
Nakumbuka kwenye Magazeti ya Newsweek enzi hizo unakuta kwenye ukurasa mmoja Tangazo la Hizi Gari Isuzu TX-55 Tipper Binua
 

Hahaaa....!!! haaa.....!!. Tulikuwa twayaita majaifongo ' jaifongo'. Those days...... haaahhaaa!!!!
 






Hizi kitu zilikuwa Taxi kwa sana Abiria unapakia mzigo kwenye gari kisha unasukuma gari likiwaka dereva anasimamisha unapanda mnaendelea na safari mkifika unamlipa pesa yako kwisha....
 
Hahaaa....!!! haaa.....!!. Tulikuwa twayaita majaifongo ' jaifongo'. Those days...... haaahhaaa!!!!
Si Mchezo yalikuwa yakibeba mikaa siku za mwisho mwisho kabla hayajapotea barabarani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…