Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 167,496
- 185,688
GSMView attachment 2126131
Marioo toto bad, G wagon
View attachment 2126132
Young Lunya mbuzi, Range Rover
GSMView attachment 2126131
Marioo toto bad, G wagon
View attachment 2126132
Young Lunya mbuzi, Range Rover
Mario kapiga picha wakati ana shoot wimbo wake flani..
Namkubali lakini nafikiri mwisho wa uwezo wake Ni tako la nyani crown..
Na huyu najiita mbuzi mwisho wa uwezo wake Ni passo







Nafikiri jamaa hajawahi kukaa na wasanii wakibongo akayajua maisha yao kiundani, angewaonea huruma sana.. sasa Marioo G Wagon ananunua kwa kipato gani kingine alichonacho?Hii G wagon ni milioni 600 amepigia picha tu hilo hana revenue ya kumiliki hiyo chuma
Analeta masikhara sana jamaaHivi wewe unacheza na hiyo Benzi hapo bei yake manina....

Mbuzi yake ni kamba tuu.cha uhakia zaid ni kwato



dah, na zile kelele za Lunya aki - Rap angekuwa na hiyo gari angeshatufokea sanaKumbe mtu akipiga picha na gari analimilikiView attachment 2126131
Marioo toto bad, G wagon
View attachment 2126132
Young Lunya mbuzi, Range Rover
kwamba young lunya sijui nan uyo kwamba?
Picha ya hiyo crown (tako la nyani)Mario kapiga picha wakati ana shoot wimbo wake flani..
Namkubali lakini nafikiri mwisho wa uwezo wake Ni tako la nyani crown..
Na huyu najiita mbuzi mwisho wa uwezo wake Ni passo
Number plates za mchongoView attachment 2126131
Marioo toto bad, G wagon
View attachment 2126132
Young Lunya mbuzi, Range Rover
DaaaaahMario kapiga picha wakati ana shoot wimbo wake flani..
Namkubali lakini nafikiri mwisho wa uwezo wake Ni tako la nyani crown..
Na huyu najiita mbuzi mwisho wa uwezo wake Ni passo




