Magari ya gesi CNG

Binafsi ndio maana nimeamua kumpuuza, Huyu kama huduma zake hivi wakati anatafuta wateja itakuaje kama atawapata??
Huyu jamaa tumpuuze maana biashara haitangazwi hivyo kificho kificho tuwe wapole huu mfumo utaenea tu
 
Waambie kabisa gharamani milion na laki nane .na full tank gas hutembea kilomita 240.baada ya hapo atatakiwa kujaza tena au abadil mfumo aanze kutumia mafuta
 
Mtungi kukaa kwenye buti! kiusalama imekaaje? Najaribu kuwaza hata tenki la Perol lingekaa ndani ya buti ingekuwaje? Boresheni zaidi kwa usalama zaidi
Sipati picha gari imepaki juani, na mtungi wa gesi ndani.

Iyo show yake sio ya kitoto likilipuka
 
Back
Top Bottom