klorokwine
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 378
- 33
Wakuu kuna thread nimesoma humu jamvini kua pale UDSM college ya Engineering wanauwezo wa kufungia gari system ya gasi,na ikawa inatumia gas kwa kiwango na gharama kadogo sana(Tsh800 kwa lita)badala ya petroleum,na garama ya kufungiwa ni Tsh 1,200,000/=
Basi ningependa kujua kama jambo hili ni la kweli?
Na je halina athari yoyote kwa mfumo mzima wa gari?
Na je upatkanaji wa gas hiyo vituo vya mafuta ukoje?
Na je nikweli matumizi ya gas kwenye gari ni rahi kuliko petroleum?
Kwa yeyote mwenye information hizi atujuze tafadhali.