Willy NGOMA
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 4,429
- 5,978
Huko nyuma,watu wamepigwa sana na haya mashikaji. Sasa hivi,mtu anaejielewa,hawezi hangaika nao. Labda wa vijijini tu,waliojnjaruka,na ndo wengi,haji kununua bila fundi. Sasa wewe,mara milioni kumi na nini,mara nini,wakati kuna wengine ana kazi ya kukusanya data,anakukutanisha na mwenye nyumba,bei mnaelewana. Wa hivi,wamebaki tu kwenye majengo na vyumba tu. Japo nao wanahaha. Leo mitandaoni unaulizia chumba,na unapata. Mtu unamtoa chochote,anaridhia. Ile sijui kodi ya mwezi,daadeki. Watu wanakwenda kurudi vijijini uzeeni hata nauli hakuna.View attachment 1048148
View attachment 1048150
Hiyo Harrier dalali kaanzia 4.5m nimemtafuta mwenye na hizo za gari kasema hata chini ya 4m inazungumzika na kanieleza ukweli tatizo zima la gari, mileage nk sasa huoni Dalali kutokuweka namba za muuzaji anajiwekea 1m nzima na gari ikibuma hiyo 1m si ningenunulia injini pale Ilala, ndio maana sipendi gari iuzwe na watu wawili
Ukitaka kumjua mwenye gari ingia Traffic http://tms.tpf.go.tz/ namba ya leseni ya siku hiyo, au Ingia TRA au BIMA (TIRA MIS) ndipo utawaona wamiliki