pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,681
- 6,382
Sio siri kwa kweli, kuwaondoa wamachinga walio wengi kariakoo na kuruhusu wachache wenye biashara za usafirishaji kutumia barabara na kuwazuia watumiaji wengine kwa namna watakavyo ni uonevu wa hali ya juu,
Malori yana athari kubwa kariakoo kuliko wamachinga,
Yanaharibu barabara, yanazuia watumiaji wengine kutumia barabara,
Na pia usumbufu kwa wakazi wa maeneo hayo
Siamini kama kariakoo haina viongozi wa kuliona hili, ila kama ni malipo hata huko nje ya mji wakipangwa watalipa tu tena kwa utaratibu mzuri tu wa kutambuana,
Vikirikuu na canter zibebe hapa kariakoo na kuwapelekea huko nje ya mji ili kuleta mandhari nzuri ya mji vinginevyo machinga wameonewa tu