Magari Magari Hayo (starlet ,Vitz.Hilux,Harrier)

hizi gari ni bora sana na imara ,ukinunua usitegeme kwenda gereji karibuni hilux nyingi zime tengenezwa kuvumilia shida .pickup hilux ni gari imara sana consuption ya mafuta ni fair alafu mzigo unao piga ni wa ukweli .ni magari mazuri sana kwa familia kazi hata kutembelea. mtu akiuza hizi gari hauzi shida au tama no .ndio soko lake lilivyo. mfano: Noah watu wengi walikuwa wanauzia tama ya pesa saiv noah hazina soko kama zamani .kwa sababu watu wengi walikuwa wakitumia kubebea abiria .lakini saiv serekali wame piga stop .kisa hazina ubora na sio imara

nimekupata babake
 
Toyota GX100 Millage isiyo zidi laki moja natapata kwa bei gani? Naitaka june...nina 10m.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom