Magamba yanaruka na kukanyagana

Magamba yanaruka na kukanyagana

Jimmy Kadebedebe

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
468
Reaction score
191
Siku zinavyozidi kwenda Magamba wanazidi kuchanganyikiwa hii inadhihirisha wazi kuwa mwaka huu Magamba wamebanwa vibaya;

Tathmini ya awali inaonyesha Chadema walivyoliteka anga la medani za siasa tangu Lowasa aingie Chadema na kuchukua hata kurudisha fomu ya ugombea uraisi.

Wanachama wa Magamba wameamua kumkimbilia Dk Slaa na kuanza kuandika thread ambazo hazina mashiko humu JF.

Tahadhari kwa Magamba kuweni makini kwani goli lenu la mkono litageuka na kujikuta mkipigwa tatu bila na UKAWA kwani mmemsahau kabisa mgombea wenu Magufuli ambaye kwasasa thread zake humu ndani zimepotea kabisa.

Kila la kheri Lowasa ikulu yako 2015.
 
Teh,naskia wamekosishiwa jengo kule masaki kwaajili ya propaganda,magamba yatatoka mawaka huu yote
 
Nimefurai sana maana wamecheza Ngoma yetu wakiongozwa na Lizabon
 
tena wanaoongoza kuanzisha thread zinazohusu ukawa, chadema na lowassa ni wao. mwaka huu lazima wakae
 
masikini magamba wamejidai wanajua kukata wamekatika wenyewe sasa wanacheza ngoma ukawa uku tumewashika kunako mambo
 
Back
Top Bottom