Engineer
Acha kutufanya sisi wajinga, unamaanisha nini kusema "CCM ni nzuri sana .... Tatizo liko kwa baadhi ya
watendaji..."
Chama kinaundwa na watu, uadilifu wa watu ndio uadilifu wa chama, hauwezi kutenganisha
uadilifu wa viongozi na uadilifu wa chama.
Aliyeyasema hayo ni kiongozi mkubwa sana wa CCM, maana yake ni kwamba alikuwa anajua
kwamba mwanachama wake, kiongozi mwenzake ni muuza unga, mwenyekiti wa ccm mkoa,
alijua hilo na analijua mpaka sasa, all the way to mwenyekiti wa chama taifa, analijua na
alilijua.
CCM inafaidika na madawa ya kulevya ndio maana haina ubavu wa kuwakemea, kuwawajibisha
wala kuwakataa viongozi wasio waadilifu.
Huu ni uchafu ambao unategemewa kwa viongozi wote wa ccm, matendo
yao/yenu yote yanatushuhudia kwamba kwamba CCM ni OVU