W Welu JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 852 Reaction score 303 Jul 11, 2011 #1 Wanajamii wenzangu kama kweli itakuja itokee mapacha wafukuzwe ndani ya uzima kama tunavyohubiriwa. Amini mimi siku hiyo nitatafuta choo cha shimo nijidumbukize humo, maana mara imekuwa sio siku 90 wala 120 nadhani ni siku 1,000,000,000
Wanajamii wenzangu kama kweli itakuja itokee mapacha wafukuzwe ndani ya uzima kama tunavyohubiriwa. Amini mimi siku hiyo nitatafuta choo cha shimo nijidumbukize humo, maana mara imekuwa sio siku 90 wala 120 nadhani ni siku 1,000,000,000