Magaidi ya Houth wanalazimisha watu waandamane ili wapate misaada ya chakula huko Yemen!!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
6,926
Reaction score
6,026
REUTERS: Wahouthi wamekuwa wakiwalazimisha raia wa Yemen kujiunga na wanamgambo wao na kuhudhuria mikutano ya kila wiki inayobwabwaja "Kifo kwa Amerika" “Kifo cha Israel” kama sharti la kupokea msaada wa kibinadamu wa Umoja wa Mataifa.

Raia mmoja aliyekimbia makazi yake aliiambia Reuters alikataa ombi hilo na aliitwa "adui," na kumfanya asistahiki kupokea misaada ya chakula.

Makumi ya raia, wafanyakazi wa misaada, na maafisa wa Umoja wa Mataifa waliambia Reuters kwamba Wahouthi wamedhibiti sehemu kubwa ya mfumo wa misaada. Orodha za wapokeaji zinajumuisha majina bandia, na vifaa mara nyingi huishia kwa wapiganaji wa Houthi.

Mfanyikazi wa misaada wa Umoja wa Mataifa alisema "hawajui watu milioni 5 kati ya milioni 9 waliojiandikisha kupokea msaada katika Yemen inayodhibitiwa na Houthi ni akina nani."

View: https://x.com/osint613/status/1978366336976785731?s=12
 
Attachments

  • IMG_4487.jpeg
    IMG_4487.jpeg
    114.4 KB · Views: 10
  • IMG_4488.jpeg
    IMG_4488.jpeg
    210.8 KB · Views: 9
Hawa ni wendawazimu

Wewe ni mgeni wa Twitter? Wayahudi wanalipa billion za dollar s kwaajili ya twit Moja tu itakayo chafua resistance na kubrand image ya mzayuni fuatilia bro German wanavuna pesa nyingi Kwa support ya social media Kwa mzayuni twit Moja dollar m9, wamenunua tik tok US hapo ndio mpunga nje nje wahi fursa mwambie na Echolima1 kuliko kupiga kelele humu Bure aje nimpe ramani walau awe analipwa.. Kwa wasio penda haki huu ni utajiri nje nje, lakin mbele za muumba usubiri moto kusapoti wauwaji
 
Hamas wachwe waendelee kuuwawa sio binadamu kabisa, wanajijali wao wanasahau maslahi ya raia wengine.
 
REUTERS: Wahouthi wamekuwa wakiwalazimisha raia wa Yemen kujiunga na wanamgambo wao na kuhudhuria mikutano ya kila wiki inayobwabwaja "Kifo kwa Amerika" “Kifo cha Israel” kama sharti la kupokea msaada wa kibinadamu wa Umoja wa Mataifa.

Raia mmoja aliyekimbia makazi yake aliiambia Reuters alikataa ombi hilo na aliitwa "adui," na kumfanya asistahiki kupokea misaada ya chakula.

Makumi ya raia, wafanyakazi wa misaada, na maafisa wa Umoja wa Mataifa waliambia Reuters kwamba Wahouthi wamedhibiti sehemu kubwa ya mfumo wa misaada. Orodha za wapokeaji zinajumuisha majina bandia, na vifaa mara nyingi huishia kwa wapiganaji wa Houthi.

Mfanyikazi wa misaada wa Umoja wa Mataifa alisema "hawajui watu milioni 5 kati ya milioni 9 waliojiandikisha kupokea msaada katika Yemen inayodhibitiwa na Houthi ni akina nani."

View: https://x.com/osint613/status/1978366336976785731?s=12

Wewe kichwa pumbu
Unaongelea maandamano halafu tusikuone tarehe 29, tutanyofoa hilo fuvu....
 
Wewe ni mgeni wa Twitter? Wayahudi wanalipa billion za dollar s kwaajili ya twit Moja tu itakayo chafua resistance na kubrand image ya mzayuni fuatilia bro German wanavuna pesa nyingi Kwa support ya social media Kwa mzayuni twit Moja dollar m9, wamenunua tik tok US hapo ndio mpunga nje nje wahi fursa mwambie na Echolima1 kuliko kupiga kelele humu Bure aje nimpe ramani walau awe analipwa.. Kwa wasio penda haki huu ni utajiri nje nje, lakin mbele za muumba usubiri moto kusapoti wauwaji
Uongo ndiyo unaweza kuupamba kwa pesa au chakula sasa Israel wao wanafanya ukweli hio pesa ulipwe za nini? Acha kudanganya watu!!!
 
Back
Top Bottom