Magaidi waishambulia Medina

Status
Not open for further replies.

Na huyu anapewa mabikra 72 [emoji15]
 
Ni hivi majuzi nimeona waislamu wakiandamana hapo dar kuilaani Israel eti inawaonea wapalestina lakini kwa haya yaliyo tokea saudia hutawaona wakilaani wala kuliongelea kwenye nymba zao za ibada
 
Naunga mkono hoj
 
Ni hivi majuzi nimeona waislamu wakiandamana hapo dar kuilaani Israel eti inawaonea wapalestina lakini kwa haya yaliyo tokea saudia hutawaona wakilaani wala kuliongelea kwenye nymba zao za ibada
Hiyo siku ni Ijumaa ya mwisho mfungo wa Ramadhani. Wenyewe wanaiita Qudus. Dar wameandamana kama leo kuilaani Israel kesho yake wenye dini yao wakapiga kule kule HQ. Ha ha ha. Mambo mengine kuyaelewa ni tabu.
 
Mpaka arud kama neno lilivyo nena na mwana wa mungu aje kuudhibitishia ulimwengu tutaona mengi we omba uzma
 
Sisi ni kama wendawazimu kwa sababu ya kujikomba komba kwa watu weupe.....yaani tungekuwa tunajua ni kiasi gani hao wenzetu weupe wanavyotuchukia.....sidhani kama kuna mtu angehangaika na masuala ya viza kwenda mahali fulani.......
Katika vitabu vya dini walivyotuletea sehemu kubwa vinaongelea upendo na ukarimu kwa binaadamu wote kwa kuwa eti binaadamu wote ni sawa....lakini unyama wanaofanyiwa watu weusi kwenye mataifa hayo na hao hao wanaotuambia kuwa binaadamu ni sawa kupitia vitabu vyao ambavyo wao wanaviita vya Mungu kunatosha kabisha kuwaweka katika kapu la unafiki na usheitwani.........

Hata siku moja huwezi kusikia wazungu wameandamana kulaani mauaji ya Burundi......

Hata siku moja huwezi kuona waarabu wakiandamana kulaani mauaji ya muafrika hata kama muislamu mwenzao.....ila sisi huku kutwa kucha ni kuandamana kulaani mauaji ya hao wenzetu ambao wanatuona sisi kama manyani.........

Hata hivyo vitu vinavyofanya tuandamane vipo kwenye lugha ya kiarabu ambapo ni dhahiri kuwa hayatuhusu........

Tujitambue....tujithamini....tujiheshimu sisi wa Afrika......
 
_Bwana Yesu apewe sifa,tuwaombee wasiomwamini wajekwake wakombolewe toka_*utumwa* wamagaidi.Ameen ,
 
Hiyo siku ni Ijumaa ya mwisho mfungo wa Ramadhani. Wenyewe wanaiita Qudus. Dar wameandamana kama leo kuilaani Israel kesho yake wenye dini yao wakapiga kule kule HQ. Ha ha ha. Mambo mengine kuyaelewa ni tabu.
Waislamu ni wanyenyekevu wa usoni ila mioyo yao ni tofauti kabisa maana hata hapa Tz tunawaona wanavyo lalamika hovyo kwamba matatizo yamesababishwa na wasio waislamu
 
Ni hivi majuzi nimeona waislamu wakiandamana hapo dar kuilaani Israel eti inawaonea wapalestina lakini kwa haya yaliyo tokea saudia hutawaona wakilaani wala kuliongelea kwenye nymba zao za ibada

Atayeilaani Israel naye atalaaniwa na atakayeibariki na atabarikiwa na Yesu!
 
KikulachoCho mi naona hao walioandamana wangepewa kazi hata ya kupaka chokaa majengo mabovu na DC Happi,maana hawana kazi.

Wache kuandamana magari yanaua watu dodoma,bunge live mnaenda andamania mtu yupo Ulaya?Shame upon u?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…