Al arabia (luninga ya Waarabu) wameripoti kwamba Msikiti huko Medina ambao Mtume Muhamad amezikwa unawaka moto baada ya kulipuliwa na Bomu linalosadikiwa kuwa ni la kigaidi, ...
One World Government imekaribia!
Kuna thread ilikuwa humu kuwa kwa yeyote atakayeshambulia Saudia basi atakipata cha moto kutoka kwa jumuia ya Kiislamu...sasa sijui kwa hili itakuwaje,ngoja tuone.
Ila magaidi hawafai na hapa dada @Faizafox sijui atasemaje,kama atawatetea au atajililia kimya kimya maana himaya imeguswa nayo
Kushambulia Msikiti wa Mtume ni kitu ambacho yeyote anayejiita mwislamu hawezi japo kuwaza sembuse kufanya. Hawa ni mashetani kamili.Magaidi hawana mdhamana ukiwapa tafu kama Saudi anavyofanya Syria mwishoe wanakurudia.
Ukikimbizana na chizi, wote mtaonekana wamoja..Ukileta comments za dini zitajibiwa kidini.ukileta za tukio utajibiwa ki tukio.
Wenyewe kwa wenyewe tena? Sasa adui ni nani maana sielewiUS Consulate was the Target. Apart from Madena Jiji la kibiashara la Qatef nayo inawaka Moto muda huu!