Magaga

MU-ARSENAL

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2012
Posts
956
Reaction score
597
Ivi hili tatizo la kupasuka miguu huwa linasababishwa na nini??
 
Kutokuvaa viatu vya kufunika.

Kutokuvaa soksi.

Hali ya hewa ya baridi.

Kusimama kwa muda mrefu.

Matatizo ya ngozi.

Maradhi.

Chochote hapo kati ya nilivyovitaja kinaweza kusababisha YABISI
 
Sugua miguu sawasawa
Epuka kutembea peku
Paka mafuta miguu
Epuka viatu vya wazi vigumu(vya kutengenezwa kwa tairi chakavu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…