Mafuta yanavyohangaisha utawala Z’bar

Mafuta yanavyohangaisha utawala Z’bar

Gamba la Nyoka said:
Naona Swali langu la " ni nani aliyempa sultani Zanzibar limeshindwa kujibiwa".

Je Dar-es-salaam kwenye Ikulu ya Tanzania nayo ni Zanzibar?.
mimi binafsi namuona Sultani naye kama mkoloni tu, kwa hiyo Wakoloni kwa Wakoloni kuraruana katika vita/kudhulumiana wao kwa wao sisi haituhusu. nchi tulizozikomboa kutoka kwa hawa wakoloni zina mipaka yake inayoeleweka, Tukizungumzia Tanganyika tunajua ni mainland na visiwa vya mafia na vinginevyo vidogovidogo, Tanganyika ilikujaje? sisi haituhusu!, kama sultani alidhulumiwa hiyo ni shauri yake, kwa nini yeye hakudhulumu?, kama alishinikizwa hiyo ni shauri yake kwa nini yeye hakushinikiza?, kama alilipwa pesa hewala, sisi hiyo haituhusu.

Je ni Zanzibar ipi iliungana na Tanganyika?, na Tanganyika ipi iliungana na Zanzibar?, je ni himaya ya Zanzibar iliyoungana na Tanganyika au ni "Zanzibar" iliyoungana na Tanganyika?.

Kama Wazanzibar wanaitaka himaya ya mkoloni sultani, basi waidai hata Oman maana kiasili sultani wa Zanzibar na Oman alikuwa mmoja kabla ya baadae kutengana.

Gamba la Nyoka,

..Thank you!!!

..hawa wanachotamani ni mali asili zilizoko ktk maeneo hayo.

..they dont care about wenyeji wa maeneo hayo ya pwani ya Afrika Mashariki.

..watu hawahawa wanadai pwani ya Afrika Mashariki ni mali[eneo] ya Zanzibar, lakini wanawabagua[wanawakana] watu kama Ali Mwinyi,na Jumbe, wenye asili ya maeneo hayo kwa kudai kwamba siyo wa-Zanzibari!!!
 
Kwani nyinyi mliikuta, kuivamia na kuikalia kwa mabavu Zanzibar yenye mipaka ipi?

Siku zenu za kuitawala Zanzibar zinahesabika.
 
Makaimati said:
Kwani nyinyi mliikuta, kuivamia na kuikalia kwa mabavu Zanzibar yenye mipaka ipi?

Siku zenu za kuitawala Zanzibar zinahesabika.

Makaimati,

..hoja ya mipaka ya Zanzibar imeletwa na Mdondoaji.

..pia hoja kwamba Zanzibar ni zaidi ya ile iliyojiunga na UN mwaka 63 na kuungana na Tanganyika mwaka 64 nimewahi kuisoma kwenye hotuba ya Maalim Seif.

..pwani ya Tanganyika ikiunganishwa/ikirejeshwa kwa Zanzibar unapata kitu kipya kabisa ambacho sidhani kama wanaojenga hoja hiyo wamefikiria mbali kiasi hicho.

..uwezekano mkubwa ni kwamba pwani ya Afrika Mashariki ina wakaazi wengi kuliko wale walioko Unguja na Pemba sasa hivi. kwa msingi huo hao ndiyo watakuwa na sauti kubwa zaidi ktk kuamua future ya hiyo nchi mpya inayotarajiwa.
 
Ni kweli Mkuu lakini habari za mipaka hio ni mchakato wa baadae, pale tukishajikomboa kutoka mkoloni Tanganyika na kurudisha Utaifa wetu.

Hao walioko katika huo ukanda wa Pwani wa Tanzania na Kenya wataamua kama wanataka kurudi Zanzibar.

Lakini kutokana na Tanganyika inavyoigawa nchi yao kwa magabachori na kuendekeza mno ufisadi, Tanganyika itakuja kutuomba ijiunge.

Take my words seriously.
 
Naona Swali langu la " ni nani aliyempa sultani Zanzibar limeshindwa kujibiwa".

Je Dar-es-salaam kwenye Ikulu ya Tanzania nayo ni Zanzibar?.
mimi binafsi namuona Sultani naye kama mkoloni tu, kwa hiyo Wakoloni kwa Wakoloni kuraruana katika vita/kudhulumiana wao kwa wao sisi haituhusu. nchi tulizozikomboa kutoka kwa hawa wakoloni zina mipaka yake inayoeleweka, Tukizungumzia Tanganyika tunajua ni mainland na visiwa vya mafia na vinginevyo vidogovidogo, Tanganyika ilikujaje? sisi haituhusu!, kama sultani alidhulumiwa hiyo ni shauri yake, kwa nini yeye hakudhulumu?, kama alishinikizwa hiyo ni shauri yake kwa nini yeye hakushinikiza?, kama alilipwa pesa hewala, sisi hiyo haituhusu.

Je ni Zanzibar ipi iliungana na Tanganyika?, na Tanganyika ipi iliungana na Zanzibar?, je ni himaya ya Zanzibar iliyoungana na Tanganyika au ni "Zanzibar" iliyoungana na Tanganyika?.

Kama Wazanzibar wanaitaka himaya ya mkoloni sultani, basi waidai hata Oman maana kiasili sultani wa Zanzibar na Oman alikuwa mmoja kabla ya baadae kutengana

Hapo kwenye red; good argument. Nionavyo, mwisho wa mchezo huu ni Sultan wa Oman kuidai Zanzibar kama mali yake; ni jimbo lililoasi wakati wa mapinduzi. Subiri wewe utaona, kuna picha nzuri sana hapo inakuja, tuombe uzima.
 
Mdondoaji,

..off course kuna muingiliano[damu,Dini,uvuvi,biashara,...] mkubwa baina ya wakaazi wa pwani ya Afrika Mashariki na wale wa visiwa vya Unguja na Pemba.

..ninachokiangalia mimi zaidi ni IDENTITY ya Uzanzibari.

..je, hawa wakaazi wa Pwani ya Afrika Mashariki wana haki ya kutambuliwa na kujitambulisha kama wa-Zanzibari?

..Je, hawa wananchi wananchi ya pwani ya Afrika Mashariki[Dsm,Kilwa,Bagamoyo,Tanga,Lindi,Mtwara,Lamu,Mombasa..] wamewahi hata wakati mmoja kutamani, au kudai, kujitambulisha/kutambuliwa kama wa-Zanzibari? Yaani kuunganishwa pamoja na wenyeji wa visiwa vya Unguja na Pemba?

..Je, Waunguja na Wapemba wanawatambua wenyeji wa pwani ya Afrika Mashariki kama wa-Zanzibari wenzao, tena wenye haki sawa na wao?

..nimewahi kuwasikia baadhi ya wa-Zanzibari wakidai viongozi kama Karume,Jumbe,Ali Mwinyi, kuwa si wa-Zanzibari. Hoja yao ni kwamba viongozi hao wana asili toka ukanda wa pwani ya Tanganyika.

NB:

..katika kufuatilia kwangu historia, sijaona mahali popote pale ambapo Sultani aliwaunganisha kijamii na kiutawala wenyeji wa ukanda wa pwani ya Afrika Mashariki na wale Waunguja, na zaidi wa Oman. The Sultani treated these areas as simply trading posts. Nothing more than that.

Mkuu,

Kutokana na mchanganyiko wa watu Zanzibar hakuna mzanzibar anayeweza kujiita yeye ni mzanzibar mzawa Zanzibar. Zanzibar vilikuwa visiwa havina watu na watu wa kwanza kuhamia Zanzibar walikuwa wanubi karne kabla ya kuzaliwa kristo. Ikisha wakaja wanyamwezi na wazaramo (waliokuwa wavuvi miaka ya karne za 10 na kitu. Ndipo wakaja waarabu karne ya 15, wareno karne ya 16 na waingereza na wajerumani karne ya 18 .

Siku moja nilimuuliza makaimati aseme nani mzanzibari mzawa Zanzibar akanipiga chenga kwa sheria za kimataifa za uhamiaji wazawa ni watu waliokuwa asili yao ni eneo la pale husika. Zanzibar hakuna mtu asili yake ni pale husika ni kisiwa kila mmoja mhamiaji tu.

Wanaowabagua akina Jumbe, Mwinyi, na Karume ni wabaguzi hata kwamba wao asili yao ni malawi (Karume), Mwinyi (Pwani), na Jumbe (Kigamboni).

Kutokana na complication za mipaka ya Africa ndio iliamuliwa itumike mipaka ya wakoloni kuigawa Africa. Mfano Zamani South Africa ilikuwa imeungana na Zimbwabwe Zikijulikana Rhodesia na watu wake wengi lugha zinafanana. Wakoloni wakatofautisha baada ya vita ya dunia. Vile vile North of Sudan na Egypt wana lugha sawa. Wakoloni ndio wametofautisha kwa matakwa yao ya kibiashara na kilimo.

Hivyo basi hoja yako ya sultani aliitumia pwani kibiashara tu inakuwa irrelevant kwani wakoloni wote walikuwa wakitumia continent yote kibiashara na map ya 1884 ya kule Berlin conference ndio inayotumika hadi kesho kutengeneza mipaka ya africa. Labda ulete hoja nyengine mkuu.
 
Hakuna raisi wa Tanzania atakaye kuwa mjinga na kukubaliana na Zanzibar kujitenga maana atauliwa! hata kama katoka zanzibar. Zanzibar imepata 4%-5% kwa miaka yote, umeme, chuo, kazi, balozi, n.k na sasa kwasababu ya mafuta wajitenge! basi walipe madeni yote kwanza! hii haitawezekana na hakuna raisi atakayekubali zanzibar kuwa na pesa zake wakati wamepokea mgao wa 4%-5% kwa miaka zaidi ya 40. Hizi ni ndoto tu mtaleta vita
Hasara ya Mtu kukosa akili, hivi wewe unafikiri Zanzibar ni koloni la Watanganyika? ama kwli asiekujuwa hakuthamini, Zanzibar imeingizwa katika Ukoloni wakitanganyika kwa mbinu na hadaa chafu zailizopangwa na USA pamoja na Mamluki Wao Julius Nyerere hivi wewe umefikiri sawa sawa au ndio wale wanaotumia makalio kufikiri? nani kakuambia kuwa mgao wa 4.5% ndio sehemu ya Zanzibar katika mafao ya Muungano yanapogaiwa, Zanzibar ikistahiki za idi ya 4.5% kupata katika mgao huo ni wizi na ukandamizaji uliokithiri ndio uliotumika kuinyima haki yake na kama ni kulipwa basi Tanganyika ilojificha ndani ya Tanzania ndio itakayofilisiwa. Muungano huu hauna muda na subiri kura ya Maonio ya Katiba Mpya itakavyokumalizeni.
 
Mdondoaji said:

..Sultani hakuji-establish pwani ya Tanganyika kama alivyofanya kwa upande wa Zanzibar.

..huku alikuwa na mawakala wake wakiendesha shughuli zao na yeye alichokuwa akifanya ni kukusanya kodi na kupandisha bendera yake. katika maeneo machache aliwekeza kwa kujenga majumba.

..hata Zanzibar yenyewe alikuja kuwa protectorate ya Muingereza. kabla ya hapo Sultani aliomba kuwa Protectorate ya Mjerumani--rejea quote uliyoleta.

..mwisho, nadhani madai kwamba pwani ya Tanganyika ni eneo la Zanzibar hayana mantiki ktk ulimwengu wa kisasa. this would not be a feasible idea for Zanzibar to pursue.

..sidhani kama wa-Zanzibar watakuwa comfortable na DEMOGRAPHIC changes zitakazoletwa na mjumuiko wa pwani ya Tanganyika na visiwa vya Unguja na Pemba.

NB:

..si kweli kwamba mipaka ya nchi za Afrika iliyoko sasa hivi imefuata ramani iliyochorwa na wazungu in 1884.

..Rwanda na Burundi zilikuwa part ya himaya ya Mjerumani iliyojumuisha Tanganyika kwa kutumia ramani ya Berlin conference, leo hii ni mataifa huru na mipaka yake inatambuliwa na UN na OAU/AU.
 
Mkuu,

Kutokana na mchanganyiko wa watu Zanzibar hakuna mzanzibar anayeweza kujiita yeye ni mzanzibar mzawa Zanzibar. Zanzibar vilikuwa visiwa havina watu na watu wa kwanza kuhamia Zanzibar walikuwa wanubi karne kabla ya kuzaliwa kristo. Ikisha wakaja wanyamwezi na wazaramo (waliokuwa wavuvi miaka ya karne za 10 na kitu. Ndipo wakaja waarabu karne ya 15, wareno karne ya 16 na waingereza na wajerumani karne ya 18 .

Siku moja nilimuuliza makaimati aseme nani mzanzibari mzawa Zanzibar akanipiga chenga kwa sheria za kimataifa za uhamiaji wazawa ni watu waliokuwa asili yao ni eneo la pale husika. Zanzibar hakuna mtu asili yake ni pale husika ni kisiwa kila mmoja mhamiaji tu.

Wanaowabagua akina Jumbe, Mwinyi, na Karume ni wabaguzi hata kwamba wao asili yao ni malawi (Karume), Mwinyi (Pwani), na Jumbe (Kigamboni).

Kutokana na complication za mipaka ya Africa ndio iliamuliwa itumike mipaka ya wakoloni kuigawa Africa. Mfano Zamani South Africa ilikuwa imeungana na Zimbwabwe Zikijulikana Rhodesia na watu wake wengi lugha zinafanana. Wakoloni wakatofautisha baada ya vita ya dunia. Vile vile North of Sudan na Egypt wana lugha sawa. Wakoloni ndio wametofautisha kwa matakwa yao ya kibiashara na kilimo.

Hivyo basi hoja yako ya sultani aliitumia pwani kibiashara tu inakuwa irrelevant kwani wakoloni wote walikuwa wakitumia continent yote kibiashara na map ya 1884 ya kule Berlin conference ndio inayotumika hadi kesho kutengeneza mipaka ya africa. Labda ulete hoja nyengine mkuu.

Mkuu Mdondoaji sikubahatika kuona hilo suala lako hata baada ya kungojea sana, bali niliona kitisho cha kuwa utaniaibisha tu.

Hata hivyo kwa vile suala lako lilikuwa hilo, jibu lako ni hili:

Ni ukweli usiopingika kuwa Zanzibar ni visiwa ambavyo Muumba aejaalia tuwe Wazanzibari wa mataifa mbali mbali. Wako Wazanzibari wenye asili ya:
  1. Kiarabu
  2. Kihindi
  3. Kiyemen
  4. Kichina
  5. Kinyamwezi
  6. Kisukuma
  7. n.k
Hata hivyo Wazanzibari wenyewe tunajuana na wageni pia tunawajua.

Kilichotufanya tujijue na kujitambua ni fitna zenu alizokuja nazo Nyerere na kuzipandikiza miongoni na baina yetu. Watu kutoka Bara (Tanganyika), tumekaa nao kwa wema mkubwa na hatukua na shida nao. Mimi mwenyewe binafsi nimejuana na Mnyamwezi mmoja tokea 1957 Kaskazini ya Pemba mpaka amefia nyumbani mwangu na nimemzika mimi mwenyewe miaka ya hivi karibuni.

Tumeanza kujijua wenyewe Wazanzibari baada ya kuwabaini nyinyi Watanganyika ubaya wa fitna zenu na kuamua kujipapatua na ukoloni wenu wenye wingi wa dharau. Wakati wewe ukiangalia asili, mimi niko kisiasa zaidi kwa hili.

Kwanini nyinyi mjite Watanganyika na msijiite Waafrika tu. Mmefanya hivyo ili mjijue na kujulikana na wenzenu, sawasawa na sisi.

Kwa hivyo kwetu sisi hao ni wabara na Wazanzibari ni sisi ambao tuna mava zetu na sio zile za kupora baada ya Mapinduzi.

ASili yetu ya Uzanzibari ni kutokana na kuwa wa generation nyingi hapa na sio hao waliokuja migongoni hapa.

Hata sisi tulipoanza kudai kwa nguvu Zanzibar yetu ndipo na nyinyi mlipogutuka mkadai Tanganyika. Mbona hamsemi nyinyi ni Waafrika tu, baada ya kuhamia hapo kutoka Cameroons?

Wazanzibari tunajuana bwana na Wazanzibara pia.
 
Hakuna raisi wa Tanzania atakaye kuwa mjinga na kukubaliana na Zanzibar kujitenga maana atauliwa! hata kama katoka zanzibar. Zanzibar imepata 4%-5% kwa miaka yote, umeme, chuo, kazi, balozi, n.k na sasa kwasababu ya mafuta wajitenge! basi walipe madeni yote kwanza! hii haitawezekana na hakuna raisi atakayekubali zanzibar kuwa na pesa zake wakati wamepokea mgao wa 4%-5% kwa miaka zaidi ya 40. Hizi ni ndoto tu mtaleta vita
Hiyo 4.5 % ya nini wakati tungelikuwa bila ya muungano tungelipata zaidi ya 30 pecent ya mikopo njee,misaada n.k

Tungepiga hatua
 
Makaimati,Zanzibar hakuna cha uzanzibari wala uzanzibara sema kuna wabaguzi na wazalendo. Kuna wenye nia dhati ya kuleta mafanikio na mafisadi. Nyie nyie mnaojifanya wazanzibari ndio mlikuwa mkiwabagua wapemba, wangazija, waarabu kwa kuwaita hizbu na nyie wanamapinduzi. Pia mkawaita wale waarabu na nyie kombaini. Zanzibar hakuna kitu kinaitwa uzanzibari isipokuwa mnabuagana tu wamwera anamchukia mdonge. Mdonge hampendi mngazija. Mpemba mweusi anatengwa na mpemba Mwarabu. Kuna wapemba mpaka Leo hawajui Kiswahili kwakuwa wao fikra Kwao Oman.Hiyo ni dhana tu mkuu nyumba ya uzanzibar haijasimama bado kwakuwa mna sumu ya ubaguzi kati yenu.Nyerere kuna mengi ameyafanya hasameheki include this racial division but aliposema Zanzibar ikijitenga haitakuwa salama namuunga mkono 100%
 
Mkuu wee waache wajitenge na sisi tuwafukuze wote waliopo bara warudi kwao tuone watakula hizo karufuu na hakuna kuwapa umeme! Hawa watu hawana shukran, wameshazoea kuwa chini ya sultani tu.
 
Hasara ya Mtu kukosa akili, hivi wewe unafikiri Zanzibar ni koloni la Watanganyika? ama kwli asiekujuwa hakuthamini, Zanzibar imeingizwa katika Ukoloni wakitanganyika kwa mbinu na hadaa chafu zailizopangwa na USA pamoja na Mamluki Wao Julius Nyerere hivi wewe umefikiri sawa sawa au ndio wale wanaotumia makalio kufikiri? nani kakuambia kuwa mgao wa 4.5% ndio sehemu ya Zanzibar katika mafao ya Muungano yanapogaiwa, Zanzibar ikistahiki za idi ya 4.5% kupata katika mgao huo ni wizi na ukandamizaji uliokithiri ndio uliotumika kuinyima haki yake na kama ni kulipwa basi Tanganyika ilojificha ndani ya Tanzania ndio itakayofilisiwa. Muungano huu hauna muda na subiri kura ya Maonio ya Katiba Mpya itakavyokumalizeni.
USA waitake zenji kwa ajili gani?Nani kawaambia mna mafuta?...Waarabu ndio wameipindua serikali ya sultani.Soma historia yako uuelewe ugomvi wa Sultan na mazrui.
Halafu wasikilize hawa watu chini kweny hii video!
YouTube - ‫
 
Makaimati,Zanzibar hakuna cha uzanzibari wala uzanzibara sema kuna wabaguzi na wazalendo. Kuna wenye nia dhati ya kuleta mafanikio na mafisadi. Nyie nyie mnaojifanya wazanzibari ndio mlikuwa mkiwabagua wapemba, wangazija, waarabu kwa kuwaita hizbu na nyie wanamapinduzi. Pia mkawaita wale waarabu na nyie kombaini. Zanzibar hakuna kitu kinaitwa uzanzibari isipokuwa mnabuagana tu wamwera anamchukia mdonge. Mdonge hampendi mngazija. Mpemba mweusi anatengwa na mpemba Mwarabu. Kuna wapemba mpaka Leo hawajui Kiswahili kwakuwa wao fikra Kwao Oman.Hiyo ni dhana tu mkuu nyumba ya uzanzibar haijasimama bado kwakuwa mna sumu ya ubaguzi kati yenu.Nyerere kuna mengi ameyafanya hasameheki include this racial division but aliposema Zanzibar ikijitenga haitakuwa salama namuunga mkono 100%

Hizo fitna alikuja nazo Nyerere na kuziendeleza nyinyi.

Mnakuja juu kwa sababu sasa Wazanzibari wamewashtukia na sasa hawakubali tena.

Wazanzibari wapo na Wazanzibara tunawajua.

Na nyie Watanganyika ndio akhasi na mtaondoka tu siku yenu ikifika.

Zanzibar for Zanzibaris
 
Na nyie Watanganyika ndio akhasi na mtaondoka tu siku yenu ikifika.
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"][/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"]Friday, 08 July 2011 22:40
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Anxiety hit north as Sudan officially splits

Khartoum. Armina Yakub was born in Khartoum and raised her children there, but when they finish their exams, she will join a mass migration and return with them to their newly independent ancestral homeland."I am leaving for the south. All my relatives have already left," the 32-year-old told AFP as she shopped in the market of Mayo, a Khartoum suburb, after asking warily if the inquirer was a government official.

Yakub's anxiety is shared by many southerners remaining in the north after south Sudan gains full independence today.Since October, 360,000 southerners have already returned, according to the UN refugee agency (UNHCR), many of them motivated by the simple desire to participate in the historic birth of their nation.

More than one million remain in the north, but some hostile signals from the Khartoum government have raised fears about their future status -- including their right to work and own property -- which has accelerated the exodus in recent weeks.

"There have been a number of unfortunate messages, some very unpleasant messages, here in the north," said UNHCR Sudan representative Peter de Clercq.But unfortunately what people are sticking with are these bad messages. They would like to have concrete assurances, and that no one can give them," he added. In a sign of the perceived threat to those staying in Khartoum, the labour ministry sent termination notices to all southern civil servants in the north, effective from July 8.

The government has ruled out the possibility of dual nationality, which effectively means southerners in the north will be stripped of their Sudanese citizenship when a transitional period expires in nine months.

By Frank Kimboy
The Citizen Reporter
Dodoma. The government has warned against calls for the establishment of three governments in the country as proposed by some legislators, saying the move would be a catalyst for splitting the union.
Mr Sitta who is also the East African Cooperation minister said the reintroduction of Tanganyika government for Mainland would create a rivalry with the revolutionary government of Zanzibar.Mr Sitta said that currently neither Zanzibar nor Tanzania Mainland contributed membership fees for being part of the United Republic of Tanzania.

He said the introduction of membership fees, which would follow the introduction of three governments, would be a burden to both governments. “Currently Zanzibar owes the Tanzania National Electric Company (Tanesco) about Sh50 billion and pays less fees to access electricity, compared to their mainland counterparts…Tell me, if Tanganyika stood as a separate government, do you think they would have agreed with the current situation?” he posed.

Mr Sitta said that rather than call for three governments, propagators of the idea should come out in the open and say whether they want the Union to be split or not.

Mr Sitta also rubbished claims by some legislators that the Union government has been barring Zanzibar from joining international communities.
He said Zanzibar has been failing to join international communities and federations due to international laws that require only a sovereign state to join. For example, Mr Sitta said, the cabinet had once requested that Zanzibar be granted the Organization of Islamic Conference (OIC) membership but the OIC turned down the request because Zanzibar was not a sovereign country.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Hizo fitna alikuja nazo Nyerere na kuziendeleza nyinyi.

Mnakuja juu kwa sababu sasa Wazanzibari wamewashtukia na sasa hawakubali tena.

Wazanzibari wapo na Wazanzibara tunawajua.

Na nyie Watanganyika ndio akhasi na mtaondoka tu siku yenu ikifika.

Zanzibar for Zanzibaris

Sijapinga fitna hizo ndizo alizoenda nazo nyerere na kikundi cha watu wachache wenye uchu wa madaraka.

Lakini fitna ziliendelezwa na watu walewale wenye uchu wa madaraka na kujilimbikizia mali. Walitumia mgongo wa ubaguzi kuweza kuendelea kuwapo madarakani na kuendelea kuficha ufisadi wao.

Sasa hivi ndio nyie mnajidai eti wazanzibari halisi kwanza kabla hujaanza kujiita mzanzibari halisi nijibu maswali haya:-

a. Nini chanzo cha mapinduzi ya 1964 wakati ilikuwapo serikali halali ya ZPP iliyokuwa ikiongozwa na Sheikh Mohammed Shamte???

b. Kwanini baada ya mapinduzi vijana wengi wa zanzibar walibakia unemployed wengi wao wakiwa wanaishia maskani pale Jos Corner na Malindi na kwengineko . Vijana hawa asilimia 99 walikuwa waarabu, wangazija na wenye rangi fulani walikuwa wamesoma mpaka kufikia degree wengine ila kazi walikuwa hawapati kisa chuki zenu za ubaguzi.

Mnadai mmetushtukizia ila ukweli hakuna cha kustukizia wala nini mnataka kudhulumu wazanzibari nyie mnajua mafuta yako makunduchi, Tumbatu, Pemba ambapo wazawa hawaamini tena (unakumbuka kura za maruhani au umesahau!!!!) . Hivyo ili muweze kupata support ya kuleta kampuni zenu za kifisadi mnazuka na uzalendo wa kujidai nyie wazanzibari wazawa kumbe hakuna kitu.

Pamoja na hayo nikuulize kuna mtu anaweza kunitofautishia baina ya wazanzibari na wazanzibara???

Kuna jamaa mmoja ni kiongozi serikali ya SMZ nakupatia ukoo wake ukoje.

Baba - Muhindi na mwarabu

Bibi - Mngazija

Mama yake - Mdonge.

Bibi zake upande wa mama walikuwa wazaramo wanaishi bagamoyo.

Babu zake upande wa baba wanatokea Pakistani.

Mama yake ndugu zake wengine na wazee wake wengine wametokea na wanaishi Comoro wengine.

Mchanganyiko utamuita nani hapo Zanzibar (Mzanzibari au Mzanzibara au Kumbaro)???? Acha vitisho ndugu na mikwala yenu hamna lolote tamaa zimewakaa nyie.
 
[table="class: Contentpaneopen"]
[tr]
[td="class: Contentheading"][/td]
[td="class: Buttonheading, align: Right"][/td]
[/tr]
[/table]

[table="class: Contentpaneopen"]
[tr]
[td="class: Createdate"]friday, 08 july 2011 22:40[/td]
[/tr]
[tr]
[td]anxiety hit north as sudan officially splits

khartoum. Armina yakub was born in khartoum and raised her children there, but when they finish their exams, she will join a mass migration and return with them to their newly independent ancestral homeland."i am leaving for the south. All my relatives have already left," the 32-year-old told afp as she shopped in the market of mayo, a khartoum suburb, after asking warily if the inquirer was a government official.

Yakub's anxiety is shared by many southerners remaining in the north after south sudan gains full independence today.since october, 360,000 southerners have already returned, according to the un refugee agency (unhcr), many of them motivated by the simple desire to participate in the historic birth of their nation.

More than one million remain in the north, but some hostile signals from the khartoum government have raised fears about their future status -- including their right to work and own property -- which has accelerated the exodus in recent weeks.

"there have been a number of unfortunate messages, some very unpleasant messages, here in the north," said unhcr sudan representative peter de clercq.but unfortunately what people are sticking with are these bad messages. They would like to have concrete assurances, and that no one can give them," he added. In a sign of the perceived threat to those staying in khartoum, the labour ministry sent termination notices to all southern civil servants in the north, effective from july 8.

The government has ruled out the possibility of dual nationality, which effectively means southerners in the north will be stripped of their sudanese citizenship when a transitional period expires in nine months.

By frank kimboy
the citizen reporter
dodoma. The government has warned against calls for the establishment of three governments in the country as proposed by some legislators, saying the move would be a catalyst for splitting the union.
Mr sitta who is also the east african cooperation minister said the reintroduction of tanganyika government for mainland would create a rivalry with the revolutionary government of zanzibar.mr sitta said that currently neither zanzibar nor tanzania mainland contributed membership fees for being part of the united republic of tanzania.

He said the introduction of membership fees, which would follow the introduction of three governments, would be a burden to both governments. "currently zanzibar owes the tanzania national electric company (tanesco) about sh50 billion and pays less fees to access electricity, compared to their mainland counterparts…tell me, if tanganyika stood as a separate government, do you think they would have agreed with the current situation?" he posed.

Mr sitta said that rather than call for three governments, propagators of the idea should come out in the open and say whether they want the union to be split or not.

Mr sitta also rubbished claims by some legislators that the union government has been barring zanzibar from joining international communities.
He said zanzibar has been failing to join international communities and federations due to international laws that require only a sovereign state to join. For example, mr sitta said, the cabinet had once requested that zanzibar be granted the organization of islamic conference (oic) membership but the oic turned down the request because zanzibar was not a sovereign country.

[/td]
[/tr]
[/table]
maoni ya sitta pekee hayatoshi kuwaamulia wa tz wote...kama kweli yeye na kundi lake wanaitakia mema tz, wakati umefika mambo yote yaekwa wazi... Wa tz, turuhusiwe kura ya maoni ya kuamua hatma ya muungano... Akumbuke kama wakati umebadilika ... Awaulize wakina gaddafi, mubarak,bin ali na wengineo ,kwanini raia wamechoshwa.
 
Sijapinga fitna hizo ndizo alizoenda nazo nyerere na kikundi cha watu wachache wenye uchu wa madaraka.

Lakini fitna ziliendelezwa na watu walewale wenye uchu wa madaraka na kujilimbikizia mali. Walitumia mgongo wa ubaguzi kuweza kuendelea kuwapo madarakani na kuendelea kuficha ufisadi wao.

Sasa hivi ndio nyie mnajidai eti wazanzibari halisi kwanza kabla hujaanza kujiita mzanzibari halisi nijibu maswali haya:-

a. Nini chanzo cha mapinduzi ya 1964 wakati ilikuwapo serikali halali ya ZPP iliyokuwa ikiongozwa na Sheikh Mohammed Shamte???

b. Kwanini baada ya mapinduzi vijana wengi wa zanzibar walibakia unemployed wengi wao wakiwa wanaishia maskani pale Jos Corner na Malindi na kwengineko . Vijana hawa asilimia 99 walikuwa waarabu, wangazija na wenye rangi fulani walikuwa wamesoma mpaka kufikia degree wengine ila kazi walikuwa hawapati kisa chuki zenu za ubaguzi.

Mnadai mmetushtukizia ila ukweli hakuna cha kustukizia wala nini mnataka kudhulumu wazanzibari nyie mnajua mafuta yako makunduchi, Tumbatu, Pemba ambapo wazawa hawaamini tena (unakumbuka kura za maruhani au umesahau!!!!) . Hivyo ili muweze kupata support ya kuleta kampuni zenu za kifisadi mnazuka na uzalendo wa kujidai nyie wazanzibari wazawa kumbe hakuna kitu.

Pamoja na hayo nikuulize kuna mtu anaweza kunitofautishia baina ya wazanzibari na wazanzibara???

Kuna jamaa mmoja ni kiongozi serikali ya SMZ nakupatia ukoo wake ukoje.

Baba - Muhindi na mwarabu

Bibi - Mngazija

Mama yake - Mdonge.

Bibi zake upande wa mama walikuwa wazaramo wanaishi bagamoyo.

Babu zake upande wa baba wanatokea Pakistani.

Mama yake ndugu zake wengine na wazee wake wengine wametokea na wanaishi Comoro wengine.

Mchanganyiko utamuita nani hapo Zanzibar (Mzanzibari au Mzanzibara au Kumbaro)???? Acha vitisho ndugu na mikwala yenu hamna lolote tamaa zimewakaa nyie.

Mkuu umesema mengi lakini nahisi la msingi ni kutaka kujua kuhusu Mzanzibari na Mzanzibara.

Kwa ufupi kabisa ni kwamba Wazanzibari tunajijua na Wazanzibara wanajulikana na wenyewe wanajijua.

Bahati mbaya wewe humo katika wote hawa.

Sasa wewe uite ubaguzi au nini, habari ndio hio, muondoke tu
 
maoni ya sitta pekee hayatoshi kuwaamulia wa tz wote...kama kweli yeye na kundi lake wanaitakia mema tz, wakati umefika mambo yote yaekwa wazi... Wa tz, turuhusiwe kura ya maoni ya kuamua hatma ya muungano... Akumbuke kama wakati umebadilika ... Awaulize wakina gaddafi, mubarak,bin ali na wengineo ,kwanini raia wamechoshwa.

Umeelewa kilichoandikwa? Kama hukuelewa tuambie tutakusaidia, imeandikwa kwa lugha abayo si yetu kwahiyo uwezekano wa kutoelewa ni mkubwa na si kosa ni lugha tu kama vile mtu mwingine asiyeweza kuelewa kiarabu n.k

Sitta amesema kama kaimu waziri mkuu wa serikali ( sio maoni yake) akifanya majumuisho ya wizara husika. Amesema hakuna suala la serikali tatu akatoa mfano wa kiungwana, kama Zbar haiwezi kulipa Tanesco itaweza kulipa fees ya muungano. Akaendelea hakuna cha serikali tatu, kama kuna wanokereka kuna njia rahisi jitokezeni muungano uwepo au uvunjike. Kumbuka ni kiongozi wa shughuli za serikali bungeni (kaimu PM) na kauli zake zipo katika Hansard ya bunge kama kauli ya serikali na sio Sitta.

Kuna aliyewadanganya wzbar kuwa ikiwepo serikali ya Tanganyika mambo yatakuwa mazuri. Watanganyika wanasema vunja muungano hawana cha kupoteza na hawako tayari kubeba mzigo wa serikali ya tatu, ndio maana nimeweka hiyo aricle ya kuonyesha south sudan wako namna gani.
Wabara hawahitaji kura ya maoni, ya nini!!! kura ya maoni bara itapigwa ili iweje.

Hamna haja ya kura ya maoni nani amewaliazimisha muishi bara! ondokeni msasani, kigamboni, makorora, ilala, Tabora, Lindi, n.k muungano utakuwa haupo. Hamuwezi kubebwa mgongoni halafu mnarusha mateke, hapo lazima mtadhibitiwa.
Hakuna mbara anayehitaji kura ya maoni, ili iweje na ya nini, imsaidie nini. Zbar inahusu nini maisha ya mbara, what's Zbar.!!
 
Back
Top Bottom