Kunawakati nlkua nawaza hv serekali isingeweza kununua na kuweka akiba kubwa ya mafuta yalivyoshuka bei kwa kutumia zile pesa raisi huwa anasema tunaakiba ya kulisha nchi hata miezi mitano ili yakipanda iyauze kwenye makampuni ya mafuta ya ndani iweze kuvuna hapo faida ya haraka. Nikawaza lamda hatuna tank za kutosha kihifadhi kiwango kikubwa cha mafuta lamda.