Mafuta yaanza kuadimika, vituo vingi havina mafuta bei yafika 3000 huko ifakara, igunga, morogoro vijijini

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Mafuta petroli na dizel yamepotea kuanzia Mji mdogo wa Ruaha hadi Ifakara. Lita moja ya petrol twauziwa shs 3,000/ kwenye chupa. Yaani ni shida tupu.

Ewura saidia please.
 
Emb Magufuli ampigie tena Museven chap alete mafuta. Hiyo ndiyo faida ya kutoweka "rokudauni"
 
Kunawakati nlkua nawaza hv serekali isingeweza kununua na kuweka akiba kubwa ya mafuta yalivyoshuka bei kwa kutumia zile pesa raisi huwa anasema tunaakiba ya kulisha nchi hata miezi mitano ili yakipanda iyauze kwenye makampuni ya mafuta ya ndani iweze kuvuna hapo faida ya haraka. Nikawaza lamda hatuna tank za kutosha kihifadhi kiwango kikubwa cha mafuta lamda.
 
Mkuu aliwahi sema, serikali hatufanyi biashara
 
Kisa mafuta kushuka bei wafanyabiashara wanafanya hujuma

Ova
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom