mafuta ya ubuyu!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mafuta ya ubuyu!!!!

Discussion in 'JF Doctor' started by daniel sr. lighton, Feb 28, 2013.

 1. daniel sr. lighton

  daniel sr. lighton Member

  #1
  Feb 28, 2013
  Joined: Feb 12, 2013
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari yenu wapendwa,,
  ni matumaini yangu mko salama kabisa poleni kwa wale tunaosumbuliwa na maradhi,,,
  nadhani asili MAFUTA YA UBUYU
  Ni mafuta ya asali yalifanyiwa utafiti wa kina wa kisayansi na wanasayansi mbalimbali,ni mafuta ya asili yasiyochanganywa na kitu chochote kile.Mafuta haya hutokana na kukamuliwa kwa mbegu za ubuyu.
  Mafuta ya ubuyu yana faida nyingi katika mwili wa mwanadamu,haijarishi mwanaume wala mwanamke,
  Mafuta haya yana faida mbalimbali kama ifuatavyo;-
  1.huzibua mirija ya damu iliyozibwa na mafuta.
  2.mafuta ya ubuyu pia husaidia uzalishwaji wa mbegu za uzazi kwa wanaume na kwa wanawake pia.
  3.vilevile mafuta ya ubuyu husaidia kurutubisha ukuaji wa kucha pamoja na nywele.
  4.pia mafuta ya ubuyu huyeyusha mafuta yasiyo na kazi mwilini hivyo husadia kupunga mafuta mwilini.
  5.mafuta ya ubuyu pia husaidia katika kupunguza uzito.
  6.pia mafuta ya ubuyu husaidia kurekebisha kiwango cha sukari mwilini.
  7.mafuta ya ubuyu husaidia katika uzalishwaji wa seli mwilini.
  8.pia yanasaidia katika uzalishaji wa vimelea vya uhai yaani CD4.
  Mafuta ya ubuyu pia yanaweza kutumika katika kupaka mwilini kutokana na faida zifuatazo;-
  1.husaidia kulainisha ngozi.
  2.pia husaidia katika uzalishaji wa vitamin D kwenye ngozi.
  3.pia ni mazuri kutumika kwa watu wenye ulemavu wa ngozi.
  4.pia huleta unyevu unyevu kwenye ngozi iliyokauka
  inavoshauriwa
  JUICE YA UBUYU

  Ni juisi itokanayo na unga wa ubuyu bila kuongeza kitu chochote cha ziada,juisi ya ubuyu ni moja ya vitu vitokanavyo na ubuyu ambavyo na ubuyu,ubuyu ni tunda lenye vitamin C kuliko matunda mengine yote,hivyo inashuriwa kutumia juice hii mara kwa mara.juisi hii inamanufaa kadhaa mabayo ni pamoja na;-
  1.hongeza na kuleta hamu ya kula.
  2.huongeza kumbukumbu kwa mwanadamu
  Juisi hii yaweza kutumika muda wowote ule ambao mlengwa atajiskia kutumia….

  MAJANI YA UBUYU
  Ni jani litokanalo na mche wa ubuyu au mti wa ubuyu,ni majani yenye faida mbalimbali mbali na zile faida za juisi ya ubuyu.
  Faida za majani ya ubuyu ni kama zifuatazo..
  1.majani ya ubuyu yanaweza kutumika kama mboga
  2.pia yanatumika kutibu vidonda vya tumbo.
  3.kuboresha mbegu za kiume na za kike
  4.pia inatibu typhoid sugu.
  5.huongeza nguvu mwilini.
  kwa anaye hitaji tuwasiliane
  0657 963 183.
  .0767 102 880
   
 2. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2013
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tafiti hizo zimechapishwa gazeti gani au zimethibitishwa na nani? mbona hamweki nembo ya TFDA au TBS?
   
 3. Jangakuu

  Jangakuu JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2013
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 497
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mkuu samahani hayo mafuta ya ubuyu unaweza ukapikia kwenye Mboga kama tunavyoitumia Alzeti?
   
 4. S

  SABRINA HAMIS New Member

  #4
  Feb 28, 2013
  Joined: Feb 28, 2013
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jinsi ya kutumia,kuna kipimo maalumu wakati wa kunywa?natumia katika kupaka tu ila sijawi kunywa
   
 5. m

  maweiwe Senior Member

  #5
  Feb 28, 2013
  Joined: Dec 6, 2012
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huwa nakunywa haya mafuta ila kazi kweli kweli kuyameza, mbona nakunywa haya mafuta lakini sipungui uzito??
   
 6. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #6
  Feb 28, 2013
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,935
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Kumbe biashara..
   
 7. daniel sr. lighton

  daniel sr. lighton Member

  #7
  Feb 28, 2013
  Joined: Feb 12, 2013
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapana mkuu,,hayatumiki katika mboga
   
 8. daniel sr. lighton

  daniel sr. lighton Member

  #8
  Feb 28, 2013
  Joined: Feb 12, 2013
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli ni kazi sana kuyameza na inashauriwa kunywa maji yya vuguvugu immediately ukishakunywa....umetumia dose yake kama inavotakiwa,,na je!vipi kuhusu vyakula unavyotumia vinasupport kupungua uzito?
   
 9. daniel sr. lighton

  daniel sr. lighton Member

  #9
  Feb 28, 2013
  Joined: Feb 12, 2013
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kuwjulisha tu wapendwa lakin kama unahitaji kujua zaidi ndio maana kukawa na mawasiliano
   
 10. daniel sr. lighton

  daniel sr. lighton Member

  #10
  Feb 28, 2013
  Joined: Feb 12, 2013
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakuna gazeti lililochapisha na wala tbs wala tfda hazijathibitisha..lakini hii ni kama bidhaa ya tiba mbadala,,herbal
   
 11. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #11
  Feb 28, 2013
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,621
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  mwenzangu nilinunua unga wa ubuyu kwenye maonyesho fulani kwa akina mama wajasilia mali yaani fulu michanga.. kiukweli nilipokuja kuichunguza ile fungashio haina alama ya ubora nafikiri vile vilebo vinauzwa tu na kiwanda fulani.
   
 12. ThePromise

  ThePromise JF-Expert Member

  #12
  Feb 28, 2013
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 212
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Label mbona zinachapishwa karibu kila mtaa!hawa wajasiriamali wasojua ustaarabu watatumaliza tusipokua makini!
   
 13. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #13
  Mar 1, 2013
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 4,785
  Likes Received: 2,411
  Trophy Points: 280
  Tupeni ushuhuda wa watu waliokwishatumia huo Ubuyu na namba zao za simu ili tuwe na uhakika kama kweli ni Tiba maana nina uhakika hata wewe daniel sr. lighton unajua kuwa kuna wimbi kubwa la matapeli ambao wanataka kujitatirisha kwa kuzua kuwa kitu fulani ni dawa wakati si dawa na serikali yetu nayo kama iko likizo wakati watu wanapoteza maisha kwa kutumia dawa zisizo thibitishwa au kuwa na ubora.
   
 14. daniel sr. lighton

  daniel sr. lighton Member

  #14
  Mar 1, 2013
  Joined: Feb 12, 2013
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yap kuna vipimo vyake maalum...tumia kijiko kimoja kutwa mara mbili...kila baada ya kunywa hakikisha unakunywa na maji ya vuguvugu
   
 15. daniel sr. lighton

  daniel sr. lighton Member

  #15
  Mar 1, 2013
  Joined: Feb 12, 2013
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ushuhuda wa watu upo lakin sidhani kama itakua jambo la busara kuandika namba za watu hapa lakin kama wahitaji kujua mengi zaid tuwasiliane..
   
 16. daniel sr. lighton

  daniel sr. lighton Member

  #16
  Mar 1, 2013
  Joined: Feb 12, 2013
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  suala nilo lina depend na mjasiliamali mwenyewe,,,wapo wanaofanya hivyo bila kuconsider ubora na usafi wa bidhaa zao...sidhani kama kila mtu anacharacter hizo,ni kwA BAADHI TU
   
 17. daniel sr. lighton

  daniel sr. lighton Member

  #17
  Mar 1, 2013
  Joined: Feb 12, 2013
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli jambo hilo lipo tena hualibu soko la wajasiliamali wengine kwani jamii huureflect kwamba most of them wako namna hiyo...ni vema kupata kujua backgroud ya namna mjasiliamali anavyotengeneza ili kuwa na uhakika wa kuchukua bidhaa zake
   
 18. LOOOK

  LOOOK JF-Expert Member

  #18
  Mar 1, 2013
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,392
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  kwa CONDOMS na ARVS fake TFDA NA TBS hawakuzionaona hadi zinaingia mtaan???na walikuwa wapi???
   
 19. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #19
  Mar 1, 2013
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,621
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Kweli inabidi kuwa makini na hawa wajasiliamali. siku nyingine nikiona vitu kama hivyo lazima nijikorogee mbele yao ili nidhibitishe ubora.
   
 20. daniel sr. lighton

  daniel sr. lighton Member

  #20
  Mar 3, 2013
  Joined: Feb 12, 2013
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni suala jema kama waweza kufanya..na pia ni vema kuwa makini maana hata hayo mafuta kuna wachakachuzi wanaweka mafuta ya kawaida ya kula badala ya mafuta halisi ya ubuyu,,i think its better kuwa na mtu unayeamin bidhaa zake
   
Loading...