Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 5,041
- 9,652
Nishazinguliwa sana Sasa sahivi ni macho kwa machoHutaki kutapeliwa?
Watanyweshwa mawakili wa serikali kwenye kesi uchwara ya uhaini wa Lissu.Sasa mafuta ya ubuyu Wew ya Nini???
Lissu ndo Nani???Watanyweshwa mawakili wa serikali kwenye kesi uchwara ya uhaini wa Lissu.
Hata mimi simfahamu.Wewe je?Lissu ndo Nani???
Nje ya mada,umeolewa mdogo wangu,sema chap nilete posaHabari za weekend wakuu
Nahitaji mkamuaji mwenye kiwanda cha mafuta ya ubuyu mkoani Dodoma
Nahitaji kwa wingi sana
Lakini sharti langu ni moja tu
Siku ya kukamua mafuta niwepo nashuhudia
Nimechoka kuchakachuliwa na alizeti🙂↕️🙂↕️
Whatsapp only
0688301635
Embu tafuta huko Dodoma kwanza mambo yasiwe mengi 🤣🤣🤣Nje ya mada,umeolewa mdogo wangu,sema chap nilete posa
Mimi nimependa weweEmbu tafuta huko Dodoma kwanza mambo yasiwe mengi 🤣🤣🤣
Nilipata humu aka ni linkHumu wapo kweli?