Mafuta ya taa yaadimika Mwanza.

Cartoons

Senior Member
Jul 16, 2012
122
38
Kumekuwa na tatizo la mafuta ya taa hapa mwanza kwa takriban wiki 3 hivi.
Cha kushangaza hata vile vituo vya mafuta vichache vilivyokuwa nayo ,yakiisha hawaleti mengine.
Je,tatizo ni nini ?
 
Back
Top Bottom