Mafuta ya taa na Chumvi ni sawa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafuta ya taa na Chumvi ni sawa?

Discussion in 'JF Doctor' started by Kurzweil, Jul 27, 2012.

 1. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,875
  Likes Received: 4,726
  Trophy Points: 280
  Habari zenu wanaJF, nimekua mara kwa mara nashuhudia watu wakitumia mafuta ya taa na wengine hata chumvi kama tiba ya kidonda hasa pale ikitokea mtu amejikata na kitu chenye asili ya chuma. Swali langu ni sahihi kutumia vitu hivi? Na kama sio sahihi ni kwanini? Na kama kuna madhara ya matumizi yake naomba nieleweshwe. Natanguliza shukrani.
   
 2. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  stay tune usibanduke mzizi mkavu anakuja sasa hivi??
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Kwani ninavyojuwa mimi chumvi ukijikata inasaidia kuzuia Damu isiendelee kutoka lakini kwa mafuta ya Taa

  kusema ukweli mimi sijawahi kutumia na pia si vizuri kutumia mafuta ya Taa kama umejikata bora utumie chumvi kuzuia damu

  isiendelee kutoka huku ukienda Hospitali kwa matibabu zaidi. Kama kuna Watu wanaojuwa zaidi kuhusu Mafuta ya taa kama ni

  tiba ya kuzuia damu isiendelee kumwagika wakati umejikata waje hapa kutujuza zaidi mimi hilo silijuwi Mkuu. Ipycalypse
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,875
  Likes Received: 4,726
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Naona chumvi ina baadhi ya madini yanayosaidia blood-clotting,kwa mafuta ya taa nakumbuka tulikua tunawekewa kwenye makande shule za boarding sasa sijui nayo ina connection gani?
   
 6. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Tuache porojo medically speaking mafuta ya taa absolutely will do nothing to stop bleeding & will actually dilute the clotting factors, as well as possibly start quite a toxic vasospastic reaction. It may also cause tissue necrosis...

  Usitumie mafuta ya Taa !

  Chumvi ukiwa katika hali ya umajiumaji inasaidia sababu NaCL ni compound ambayo inasaidia in coagulation series , yasaidia ku triger enzymes ambazo necessary to cause platelets in the blood break down and begin the clotting sequence in the blood plasma.


   
 7. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,875
  Likes Received: 4,726
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Basi hata kutowa (Like) unashindwa? mkuu Ipycalypse Mpaka watu waombe??
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #9
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  chumvi haina madhara kiafya ni dawa chumvi.Mkuu Ipycalypse Mafuta ya Taa usijipake tafadhali.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Jamani, mbona mnapenda likes hivo? kama yuko mobile je?
  Labda niongeze kidogo:
  Katika hali ya haraka haraka unaweza kutumia urines (haja ndogo) au asali kupoza kidonda cha moto. vinatumika kama antibiotic zaidi ya hayo asali ina soothing effect itakayo punguza maumivu kwa muda. Narudia tena, tiba hii ni ya pale kwa pale, ila haiziwii tiba ya kawaida. Do NOT cover kidonda cha moto in first aid operations.
   
 11. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #11
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  sasa hizo Like hazifanyi kazi katika mobile kwanini hurekebishi na wewe ni Super Moderator Mzima?Mkuu Roulette
   
 12. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #12
  Jul 28, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Umeanza kuchakachua thread ya watu? hayo yapeleke complains
   
 13. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #13
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Unanifurahisha sana bibie vipi Ramadhani imepanda? Mimi si Mtu wa Complains hata siku moja mtakavyo fanya nyinyi wakubwa mimi kwangu ni sawa Msini BAN tu Mkuu Roulette
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #14
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Mkuu hijabu yako yaniumiza moyo wangu naitamani Mkuu.@Roulette
   
Loading...