B baba_la_kichaga Senior Member Joined May 15, 2017 Posts 127 Reaction score 54 Jul 31, 2018 #21 Hii tabia inabidi serikali ifuatilie sana kwa ukaribu kwani bila hivyo watoto wetu watapata cancer baadae
Hii tabia inabidi serikali ifuatilie sana kwa ukaribu kwani bila hivyo watoto wetu watapata cancer baadae
Kurunzi Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 10,197 Reaction score 11,628 Jul 31, 2018 #22 chilumendo said: mafuta huwa hawaweki hilo ninauhakika, chanzo cha halufu hiyo ni utunzaji mbovu wa unga wanaposaga hasa kama mahindi yamesangwa kwenye mashine za mafuta ya dizeli Click to expand... Mkuu kama umepitia shule za bweni huwa wanaweka kwenye maharage
chilumendo said: mafuta huwa hawaweki hilo ninauhakika, chanzo cha halufu hiyo ni utunzaji mbovu wa unga wanaposaga hasa kama mahindi yamesangwa kwenye mashine za mafuta ya dizeli Click to expand... Mkuu kama umepitia shule za bweni huwa wanaweka kwenye maharage
Full charge JF-Expert Member Joined Mar 1, 2018 Posts 1,712 Reaction score 1,662 Jul 31, 2018 Thread starter #23 Hata maharage yanawekewa, ss tushagoma hadi kula