Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,712
- 1,661
kama yamekusaidia kuondoa mihemko yako shida iko wapi?, sio kila sumu ni mbaya kwako, itategemea na ukubwa wa dozi/kiwango, afya ya mtumiaji, umri wa mtumiaji, na frequency ya utumiaaji. Hata sumu ya nyoka ikiwa kidogo mwilini ni kinga ya mwili, hata baadhi ya chanjo unazoziona ni zinatengenezwa na wadudu wa maradhi husika, usijali mdogo wangu, kuwa na amani mladi wasiweke debe zima kwenye chakula.Wadau wa jf hivi nisahihi chakula anachokula binadamu kutiwa mafuta ya taa? Kama hamna je wanaotufanyia hivyo mashuleni kwetu kwa lengo la kutupunguza mihemuko wanapata wapi kibali hicho(uongozi mzima wa shule)je mafuta hayo yamethibitishwa na wataalam na kugundua kuwa hayana athari kwa binadamu? Je serikali inalitambua hilo? Kama ndiyo, inachukua hatua gani kwa wahusika? Naombeni mawazo yenu ndugu zanguni wa jf.
Vp usalama wa afya ya mwanafunzi mkuuShida ipo wapi kama inazuhia miemko!?
Ni kinyume cha haki za binadamu kuzuia mihemuko kwakuwa hiyo ni nature hivyo kuzuia ni unyanyasaji wa asili ya binadamu. Baadaye watoto wakiwa watu wazima wakiwa wavivu kama panda mtaanza kulalamika kwakuwa watakuwa hawazaliani kwakukosa mihemko matokeo yake watakuwa wanalala tu hata wakioana badala ya kushughuli na kuijaza dunia, Aliyeweka mihemuko hakuwa mjingaJe ni salama kwa afya ya binadamu?
duu debe zimakama yamekusaidia kuondoa mihemko yako shida iko wapi?, sio kila sumu ni mbaya kwako, itategemea na ukubwa wa dozi/kiwango, afya ya mtumiaji, umri wa mtumiaji, na frequency ya utumiaaji. Hata sumu ya nyoka ikiwa kidogo mwilini ni kinga ya mwili, hata baadhi ya chanjo unazoziona ni zinatengenezwa na wadudu wa maradhi husika, usijali mdogo wangu, kuwa na amani mladi wasiweke debe zima kwenye chakula.