kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,432
Mafuta ya taa ni nishati inayotumika katika matumizi ya vitu mbali mbali,lakini jina lake maarufu limebaki kuwa mafuta ya taa, swali ni nani alitunga hilo jina na kwanini yawe ni mafuta ya taa tu,wakati yanatumika kwenye vitu vingine zaidi ya taa!
Kuuliza si ujinga!
Kuuliza si ujinga!