Mafuta ya simba

Mafuta ya simba

cobra poison

Member
Joined
Sep 14, 2016
Posts
32
Reaction score
12
Kama kuna mtu anayo au anajua yanapopatikana mafuta halisi ya simba nna shida nayo sana
 
ukipata mafuta ya simba nitag mi mwenyewe nna shida nayo
 
Kama kuna mtu anayo au anajua yanapopatikana mafuta halisi ya simba nna shida nayo sana
Njoo pale mtaa wa msimbazi kwenye jengo letu kesho saa mbili asubuhi kuna mafuta ya kupaka misuli yamebaki tunauza. Mwone Haji Manara au mpigie kwa maelezo zaidi))))))))
 
Kuna mtu anayo ila anapenda hela sana kama upo dsm pia kkoo kuna mtaa fulani maarufu huwezi kosa for more info njoo PM
 
Hivi yanasaidia nini katika mwili!?
Nilisikia mahali yanasaidia kufukuza Wanyama waharibifu Shambani,
Wakisikia harufu yake tu wanajua Mzee wa Mwituni, Mwekundu wa Msimbazi uko arround
 
sasa si wanaweza kuwa vutia simba wakaja na kuzani kuna simba mwenzao mkuu...
 
Ha ha haaa,
Inawezekana eeeee??
Lakini Mkuu Maeneo tuseme ya Mkuranga, Jaribu Mpakani, Bungu, Kibiti, Kilwa etc hao Simba watatokea wapi??
Pale wanaowindwa au kufukuzwa ni Kitimoto na Jamii ya Nyani (Ngedere, Tumbili, etc)
 
ukienda zaidi utakutana na selous mkuu
 
Back
Top Bottom