Mafuta ya massage ambayo ni mazuri

Habari,
Naomba kuuliza ni mafuta gani manzuri kwa ajiri ya massage, na yanauzwa sh ngapi?
Mafuta ya nazi, almond, parachichi, olive Oil na grapeseed oil. Bei inategemea na ujazo unaotaka inaweza kuanzia 12,000/- na kuendelea.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…