Usinifokee
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,503
- 3,514
Niltee gwaju.... Nasema uongo ndugu zangu?
Wewe ndio umejichanganya, wapi aliposema lita 8Wewe angalia vizuri bandiko lako.
Inawezekana vipi lita 8 ilikua 8,000 na lita 5 ikawa 12,000?
Kuna makosa sehemu, fanya kurekebisha maana nimeshindwa kuelewa.
Ok basi sikugundua hilo.Mwanzo alikuwa ameandika lita 8 baadae alibadirisha na kuandika 3 angalia waliomquote mapema kabla hajabadirisha utaona.
Nikijibishana na wewe nitaonekana mpumbavu ila mwenye mada alinielewa vizuri.Wewe ndio umejichanganya, wapi aliposema lita 8
Mimi sinunui wala bali nayazalisha. Kwahyo hizo ndo bei kwa sasaMimi napika najua bei zaa mafuta vizuri kabisa litre 3 ya sundrop nanunua kwa 15k till now, ila nikienda plant za alizeti litre5 nanunua kwa 20k
. Mzee umeanza kununua leo nn?
Sundrop Lita 3 ilikuwa 12000 kama SASA ni 15000 basi imepanda.Mimi sinunui wala bali nayazalisha. Kwahyo hizo ndo bei kwa sasa
Wapi DPP?😂😂😂Polisi wako wapi?Hawajaanza kushughulikia hili tatizo?
Duuu reaction yote hii ni hyo comments yangu mzee, waonekana ni bingwa wa utata, hongera mkuu.Nikijibishana na wewe nitaonekana mpumbavu ila mwenye mada alinielewa vizuri.
Inaonyesha usivyo mkomavu katika mijadala na huna reading skills kuona hata quote yangu.
Watoto wa juzi kwenye mitandao mna shida sana.