Mafuta ya kupikia yamepanda bei

Mafuta ya kupikia yamepanda bei

Gluk

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
1,859
Reaction score
3,022
Wapinzani walikuwa wanachelewesha maendeleo
Mafuta ya alizeti lita 3 kutoka 8000 mpaka 15000
Lita 5 kutoka 12000
Mpaka 25000
Lita 20 kutoka 52000
Mpaka 77000

Tunasema mitano tena
 
alikuwa anamaanisha lita 3
Yeah hapo sawa

Ni kweli bei zipo juu sana aisee.... Tarehe 19 Dec 2020 nilinunua yale ya Korie lita 10 ni elfu 37 wakati yalikua elfu 29 mwezi September 2020 kwenye duka hilo hilo nililonunua.

Naamini leo hii yatakua yamepanda zaidi.
 
Muhimu ni kuruhusu uingizaji wa bidhaa zingine kutoka nchi zingine
 
Muhimu ni kuruhusu uingizaji wa bidhaa zingine kutoka nchi zingine
Mafuta yote yameongezwa ushuru/kodi kwenye bajet ya mwaka huu kwahiyo lazima yapande bei mkuu. Pamoja na maji ya kunywa ya kwenye chupa

Tatizo wakati wa bajeti huwa hawaelezi ukweli vizuri tuelewe au hatufuatilii
 
Muhimu ni kuruhusu uingizaji wa bidhaa zingine kutoka nchi zingine
Wstakwambia wanalinda viwanda vya ndani kwa gharama za mtumiaji.
Mfano pale mpakani Uganda na Tz, mfuko wa sukari wa 25kg ni TSH.elfu 60+ upande wa Tz, na TSH 42 elfu ukivuka mpaka na kuingia Uganda.
 
Mafuta yote yameongezwa ushuru/kodi kwenye bajet ya mwaka huu kwahiyo lazima yapande bei mkuu. Pamoja na maji ya kunywa ya kwenye chupa

Tatizo wakati wa bajeti huwa hawaelezi ukweli vizuri tuelewe au hatufuatilii
Wanafanya kufidia Ela zilizotumika kwenye uchafuzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom