Tujitibu kisunna
Member
- Aug 7, 2017
- 44
- 15
Me niko ukonga mombasa... Tunafanya delivery popote kwa bei nafuuShukran. Mpo wapi?
pouwaMe niko ukonga mombasa... Tunafanya delivery popote kwa bei nafuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajinga ndiyo waliwao.
Wakina nan wajinga na wanaliwa nn sister???Wajinga ndiyo waliwao.
Wats ur point.... Nin tatzo..... Kuhusu tiba n wabobez na tunajua tunachokifanya ktk clinic yetu na humu wapo tulowasaidia kwa idhini ya mwenyez mungu so si kila anozungumzia tiba bas n tapelUgonjwa hutoa watu akiili..ukiumwa wakati mwingine hata ukiambiwa hindi la kuchoma linatibu jino utakubali..na hicho ndio kinachowakumba wandugu hapa..wanaibiwa waziwazi..yaani wameshapagawa na magonjwa tayari
Wats ur point.... Nin tatzo..... Kuhusu tiba n wabobez na tunajua tunachokifanya ktk clinic yetu na humu wapo tulowasaidia kwa idhini ya mwenyez mungu so si kila anozungumzia tiba bas n tapel
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunatibu magonjwa yote kasoro AIDS... Si nguvu tu na matatzo ya wanawake....... Na hta ingkuwa ivo na hayo n matatzo yanayosmbua watu weng saña.. Huna idea unazungumzia nnBasi Yaishe..we endelea kutibu nguvu za kiume na uke mkavu
.
Sunna ni Qur'an pekee.
Ohhh now account hii natumia mm... That guy hayuko on-line now.. I cant respond to ur Comment ur most welcome in bsness issues not arguing in dis issue sisSunna ni Qur'an pekee.
Usifanye biashara kuhadaa watu.Ohhh now account hii natumia mm... That guy hayuko on-line now.. I cant respond to ur Comment ur most welcome in bsness issues not arguing in dis issue sis
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumehadaa nn... Unatujua tuko wap..... Na tunachfanya... Mlete atá mmoja apa tulomuhadaa... Ok i dont take u serious Just continue to barkUsifanye biashara kuhadaa watu.
Wanaliwa mnapowadanganya eti "tujitibu kisunna.