Mafuta soko la Dunia ni usd 25

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,419
Mafuta yamezidi kushuka,Leo yamefika dollar25 kwa pipa,haya ccm tuleteeni ngonjera mpya
 
Mafuta yamezidi kushuka,Leo yamefika dollar25 kwa pipa,haya ccm tuleteeni ngonjera mpya

Hahahaa mkuu EWURA watasema hayo yatafika huku mwetu mwisho wa mwaka au mwakani!! na kwamba haya ya sasa hayawezi kushuka kwa sababu wamenunua mwaka juzi....yaani ni full ngonjera...
 
Uchumi wa Nchi zinazotegemea mafuta zinayumba kwa hili anguko kubwa la bei ya Mafuta lakini Tanzania bei ikishuka Wafanyabiashara wa Mafuta wanapata Faida zaidi kwa kuwa wanauza kwa bei ya zamani kwa stock mpya wanayonunua kwa bei Nafuu..Nauli nazo hazishuki katika mabasi sijui mpaka yawe bure kabisa maana Sumatra nao wapo kimya tuu..
 
Back
Top Bottom