Mafuta petrol na diesel yanapanda kienyeji

Kkimondoa

JF-Expert Member
May 31, 2014
4,453
4,933
Sijajua au ewura wametioa tena bei elekezi mpya maana naona mafuta yanapanda kidogo kidogo kwa sasa huku niliko ni 2000/ plt nadhan tunaelekea kule kwenye 2600/ tuliko toka.
 
Na wasituambie wataongeza nauli kwa aababu ya kupanda kwa bei ya mafuta maana bei ilipopungua nao hawakupunguza nauli
 
Back
Top Bottom