henry normal
Senior Member
- Jun 13, 2015
- 120
- 31
Kwema wandugu naomba nifahamu ivi ni mafuta au lotion gani zuri kwa matumizi ya mwanaume
Hii sasa ni fedheha.....![]()
![]()
![]()
Watakao nielewa watakuja kusema





Toba......
Imenilazimu nikuelewe kabla sijamwelewa mtaka LOTION Mkuu

ahaha ndo mafuta gani hayo?mpakwa mafuta
Au maweseSamli