Mafuta hayajashuka bei Moshi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafuta hayajashuka bei Moshi!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Sir R, Aug 3, 2011.

 1. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Serikali ilitutangazia leo bei ya mafuta yanashuka. Lakini cha kushangaza baadhi ya sheli leo Moshi hawakuwa wanatoa huduma hiyo. Nikabahatika kuweka mafuta katika sheli moja kwa shilingi 2285 kwa lita (petroli) ni bei ya awali.

  Serikali ilikuwa inatutangazia maandishi wakati sisi tunataka bei kushuka.

  Hali hii ya kudharau amri ya serikali inaonesha nini?
   
Loading...