Mafuru: Serikali ndio inayoua taasisi na mashirika ya umma

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,277
mafuru..jpg

Msajili wa Hazina, Lawrence Mafuru amesema mauaji wa taasisi za umma ni Serikali yenyewe kwa kutolipa madeni yanayotokana na huduma wanazopatiwa.

Mafuru amesema hayo wakati Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ilipokutana na mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira dodoma (Duwasa) katika ukumbi wa Pius Msekwa mjini hapa.

"Taasisi na mashirika ya umma yanakufa kutokana na kuidai Serikali madeni makubwa ambayo hayalipwi "alisema Mafuru.

Chanzo: Mwananchi
 
Taasisi nyingi za serikali zinadaiana.
Unakuta TBC inadai mashirika kadhaa ya serikali from running their adverts alafu wanategemea iwe profitable.
Mara wizara na taasisi chungu nzima hazijalipa bill zao za umeme au maji for years.
 
Sasa hayo ndo chanzo cha rushwa na ufisadi...! kwanini madeni yasilipwe..!?
 
Waliua NBC
Wakaua Tazara
Wakainya Tanesiko
Dawasco kuna kipindi ilikuwa hoi bin taabani
Wakaila UDA
Viwanda vyote
Shirika la posta
Tccl
Haaaah wamekula kweli tena ilikuwa kazi ya mkapa
 
mafuru..jpg

Msajili wa Hazina, Lawrence Mafuru amesema mauaji wa taasisi za umma ni Serikali yenyewe kwa kutolipa madeni yanayotokana na huduma wanazopatiwa.

Mafuru amesema hayo wakati Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ilipokutana na mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira dodoma (Duwasa) katika ukumbi wa Pius Msekwa mjini hapa.

"Taasisi na mashirika ya umma yanakufa kutokana na kuidai Serikali madeni makubwa ambayo hayalipwi "alisema Mafuru.

Chanzo: Mwananchi
sasa seriksli si ilipe madeni yake! sio kudai kodi wafanyabiashara halafu yenyeye kutaka huduma bure toka mashirika na taasisi zake. kama hela iko wakubwa wakamatwe kwa kutolipa na waseme hiyo hela ya kulipa umeme maji mawasiliano etc inakwenda wapi kama wao sio wezi.
 
Mafuru ataitwa mchochezi na atatumbuliwa very soon. Mkulu hataki kusikia serikali yake ikipakwa matope hata siku moja.
 
Back
Top Bottom