Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,671
- 11,339
Mafuru is good but not that much, managing director wa kitanzania wote wanafanana tofauti ni majina tu na kabila zao..
Kama mtu upo fiti kwa nini usijaribu challenge kwenye opportunities za kueleweka duniani,, why not to find opportunities in a reputable company around the globe as sony group japan, samsung group korea, google, huawei china, maerskline,, ericsson sweden, Toyota japan, honda, nissan au volkswagen group germany etc... Nina imani huko ndo kweye proffessionalism ya ukweli as unatoa decisions zinazo affect the world..
Nilikuwa nacheki snbc ile business television kwenye dstv.. Kuna mkenya alitoka bank of kenya alikuwa managing director aliona wanamzingua enzi za moi akaelekea zake sony akawa finance manager sony group na alikuwa anafanya vitu vinavyo effect sony dunia nzima na wakakubali jamaa ana uwezo..
Na mishahara utayolipwa huko group si mchezo ni madolari ya kufa mtu,, japokuwa huko hakuna kuiba kizembe zembe maana unacheza na auditors wa groups.. As kama na ernest and young, pwc or kpmg wanaofanya audit kwenye kampuni kubwa nao wanatoka headquarter wa hizo firms so hawakuachi kizembe zembe.. Sio bongo unampangia auditor hadi sample za kumpatia na yeye anacheka cheka tu
Good Decision. Zitto should learn from this Business Executive.
Good Decision. Zitto should learn from this Business Executive.
Nimegonga like hapo because I have a vivid example
A smart man indeed; sidhani kama angeweza kufanya kazi vizuri under the weight of allegations leveled against him. He had to resign kuliko kufukuzwa.
Kama umeshafika Musoma , Majita, Ukelewe na maeneo yoyote wanakotoka wajita, waluli, wakwaya na wakelewe, unaitwa Mafuru kama jina kutokana na kuwa siku uliyozaliwa nyumbani mboga ilikuwa ni samaki,aina ya Furu [Samaki maalufu na watamu sana wenye kuitaji uzoefu mkubwa wa kijadi katika kuwapika na jinsi ya kuwala kwa sababu ya miba miba mingi sana waliyonayo samaki hao].Hivyo siku akizaliwa mtoto wa kiume na mboga ya siku hiyo home ni samaki aina ya Furu basi huyo mtoto ataitwa Mafuru, akizaliwa mtoto wa kike huyo ataitwa Nyafuru.A smart man indeed; sidhani kama angeweza kufanya kazi vizuri under the weight of allegations leveled against him. He had to resign kuliko kufukuzwa.
Habari ambayo bado haijathibitishwa ni kwamba NBC imenunuliwa na BARCLAYS BANK na serikali imeuza hisa zake zote na ABSA nao wameuza hisa zao zote kwa BARCLAYS. Tusubiri muda utaamua. Kwa hiyo Mafuru amejiondoa maana anajua kinachoendelea
Kama umeshafika Musoma , Majita, Ukelewe na maeneo yoyote wanakotoka wajita, waluli, wakwaya na wakelewe, unaitwa Mafuru kama jina kutokana na kuwa siku uliyozaliwa nyumbani mboga ilikuwa ni samaki,aina ya Furu [Samaki maaalufu sana na watamu sana weye kuitaji uzoefu mkubwa wa kijadi katika kuwapika na jisni ya kuwala kwa sababu ya miba miba mingi sana].Hivyo siku akizaliwa mtoto wa kiume na mboga ya siku hiyo home ni samaki aina ya Furu basi huyo ataitwa Mafuru, akizaliwa mtoto wa kike huyo ataitwa Nyafuru.
Vivyo hivyo uenda kwenye kuwapa watoto majina kwa mujibu wa aina ya samaki kama kitoweo cha siku husika ambacho inawekena pia wanafamilia nyumbani walikula akiwemo mama mjazito kabla ajaielekea labour kwenda kujifungua.Kwa wanaume kuna majina kama, Mafuru, masato, manyama, mabofu vivyo hivyo kwa watoto wak kike majina kama Nyafuru, Nyasato, Nyanyama, nyambofun., n.k.
Wanascience wanasema utumiaji wa samaki uongeza kitu fulani cha maana hapo upstairs hivyo si ajabu kwa watu wa aina ya mafuru, masato. Big up zake sometimes taasisi zingine za kigeni kama hizi wakiona kuwa wao ndio wamechemsha wanakucheza kwa kukuludisha kisha wanaunda zengwe halisi wanakuchinjia baharini.Hivyo kama mtu yuko smart kwa design ya mafuru,unaitikia kuludi kisha unawakaanga kwa kusepa kabla when they need to prove you wrong wewe haupo ulishasepa.Hakika watu huwa wajui hawa jamaa wenye mainstitution makubwa kama hayo uwa wanajiona ni very clever lakini kwa picha ya Mafuru kawaoutsmart, na uwa inawauma kuwa Outsmarted na black person tena kwenye mazingira ya watu ambao wao uamini ni wajinga.
Thanks sometimes kuna wachache uwa wanatuwakilisha kuwaonyesha hawa jamaa we have brains no matter kaharibu wasivyoweza kuthibitisha as long as ni Mtanzania na atabaki Tanzania to me BIG UP MAFURU [Wakondya Mkaluka] !!!!!
Kokutyo Mkaruka ndio maana hata mchanga asome vipi neno Nchi uwa Nji!!!!Yani na wewe ni mjita kweli kweli! andika vizuri basi!!!!!!!!
Mkuu..
Sikubali kuwa kipimo pekee cha mafanikio ni kwenda kufanya kazi kampuni fulani ya nje..
Tizama mtu kama Nehemia Mchechu mambo aliyoyafanya kuanzia CBA mpaka sasa NHC..
Tizama mambo makubwa anayoyafanya Charles Kimei..CRDB inasambaa mpaka Rwanda huko..
Tusijidharau namna hii..wapo watanzania wanaoweza kufanya kazi yao vizuri
kokutyo mkaruka ndio maana hata mchanga asome vipi neno nchi uwa nji!!!!
Tehteh! Wameuza hisa zote wamelipa DENI la RADAR? Umesahau kuwa RADAR ulikuwa ni mkopo toka BARCLAYS ? Naona tumeamua kuwapa Benk kufidia deni, lakini huu ni Umbululaa kwanini wasifanye kama NMB then wause hisa kwa watu na Mashirika?
A smart man indeed; sidhani kama angeweza kufanya kazi vizuri under the weight of allegations leveled against him. He had to resign kuliko kufukuzwa.
Uwiiiiii! Mwl. Nyerere huko aliko, du..........kama kweli there is no longer NBC ya watanzania
Kuna matusi gani hapa, kwa taarifa yako watu tunapunguza ukali wa kauli ya zitto, alichokifanya ni kutangaza kwamba anaweza kufanya mauaji ya haraiki, sababu mpaka kufikia hatua ya kutafuta panya kuwaua kwa ajiri ya kumalizia hasira maana yake maelfu ya watu watakuwa wamekwisha uwawa, hakuna mtu anamtukana tunarefer kwenye kauli yake, kama ni matusi mshauri aifute.