Mafuriko yaua zaidi ya watu 50 Afghanistan, Pakistan

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
1661161661260.png

Mafuriko yameua zaidi ya watu 50 katika Jimbo la Logar Nchini Afghanistan na sehemu ya Nchi ya jirani ya Pakistan huku baadhi ya watu wengine wakiwa hawajulikani walipo.

Hasara nyingine ni nyumba zaidi ya elfu moja kuharibiwa, mazao yaliyokuwa shambani yameharibika, Wanyama wamepotea na wengine kufariki.

Picha za video zimeonesha miili ikiwa imesambaa mitaani hasa ya watoto.

Huo ni mwenelezo wa msimu wa mvua ambao ulianza Julai na utaendelea hadi Septemba 2022 Kaskazini mwa Afghanistan.

-------------------------------------

Flash floods kill dozens in Afghanistan, Pakistan

An exceptional monsoon season sparked flooding in the eastern Afghan province of Logar and in neighboring Pakistan. More than 50 people have been killed and several people are still missing.

Seasonal rains caused heavy flooding that killed dozens of people in Afghanistan and parts of neighbouring Pakistan, officials said Sunday.

The rains lashed several areas of the eastern Afghan province of Logar, where at least 20 people died and more than 30 others were wounded.

Thousands of homes were destroyed, officials said, along with canals and about 5,000 acres of agricultural land.

A village elder said the flooding was unprecedented in the history of Khushi.

"It destroyed all the people's animals, houses and agricultural land," he said. "People are homeless, they have been forced to take refuge in the mountains."

Footage posted to social media showed bodies of children as well as villages inundated by the waters.

Source: Telegraphindia
 
Hapo ndo utagundua ukristo ulioshamili Tanzania, kwa hilo Mungu anatuonekania na kuturehemu kwa kiasi chake.
 
Back
Top Bottom