Mafuriko ya UKAWA Geita

Mafuriko ya UKAWA Geita

Earthmover

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Posts
25,975
Reaction score
25,289
duni%2Bkuwasili%2Bkatolo.jpg

Msafara wa mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni ukiwasili katika kata ya Katolo wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Busanda mkoani Geita.
 
Ma lofaa katika ubora wetu. Kwa kwa kwa! Subiri nichungulie vizuri kichinjio changu kama kipo maana hawa ccm ni wachawi kisije kikawa kimeyayuka!
 
yakhee! ilo ni balaa Tikiweza kuwazuia CCM wasiibe kura ushindi ni wetu huooo
 
tusisahau kujadili na hoa za msingi kwa taifa letu wingi si HOJA
 
Jamani mtamuua Magufuli wa wati bureee
 
Kuna mtu mmoja yupo pale ccm anaitwa nape (vuvuzela la ccm). Nani kamfunga mdomo asiseme tena?
Najua jimbo la mtama atalisikia redioni lkn mbona hayupo kwenye kampeni
 
Eeeh bwana eeh!Mafuriko haya na yale ya Bukoba hatari tupu.
Mabadiliko yanazidi kunoga kila uchwao!
 
Ma lofaa katika ubora wetu. Kwa kwa kwa! Subiri nichungulie vizuri kichinjio changu kama kipo maana hawa ccm ni wachawi kisije kikawa kimeyayuka!

Hahahaaa mkuu kabla sijakuquote imebidi nichungulie changu kwanza....kipo salama kabisa.
 
....

.....Asante Kamanda Mawazo wabheja sana Nzangamba !!!!
 
Ma lofaa katika ubora wetu. Kwa kwa kwa! Subiri nichungulie vizuri kichinjio changu kama kipo maana hawa ccm ni wachawi kisije kikawa kimeyayuka!

.....Kanda ya Ziwa ni Lowassa tu
 
Geita wanataka mabadiliko nimeamini kwa haya mapokezi
 
Back
Top Bottom