Ni jambo linalotokea kwa nadra sana,lakini leo mji wa riyadh umeshuhudia mafuriko baada ya mvua kubwa kunyesha.mabadiriko ya hali ya hewa is realy.
![]()
Mpendwa hayo mafunzo ya Geographical kuwa mvua hainyeshi jangwani? " Yatatermka maji toka mbinguni kwa kadri maalum "mkuu hii nchi nako mvua huwa inanyesha? si kuna Jangwa la kutosha huko?