Chachu Ombara JF-Expert Member Dec 11, 2012 6,042 10,786 Feb 5, 2016 #1 Picha za mafuriko yaliyotokea mkoa wa Dodoma
muhomakilo jr JF-Expert Member Jul 28, 2013 14,800 12,840 Feb 5, 2016 #2 Duu...Dar jua kali..mwanzo mwisho.
nanawoo JF-Expert Member Jan 2, 2015 1,300 1,252 Feb 5, 2016 #3 Usiombe alafu dar jua linapiga hadi mifukoni we acha tu Sent from my SM-E700H using JamiiForums mobile app
Usiombe alafu dar jua linapiga hadi mifukoni we acha tu Sent from my SM-E700H using JamiiForums mobile app
K Ksuley JF-Expert Member Dec 18, 2015 1,166 445 Feb 5, 2016 #4 Duuuuhh!!! Jamaa Zangu Walisema Jana Walikaa Hapo Tokea Jioni Hadi Usiku Wa Saa 2.30 Usiku!!! NILIDHANI Cha Mtoto Tu, Kumbe Ni Nomaaa!!!!
Duuuuhh!!! Jamaa Zangu Walisema Jana Walikaa Hapo Tokea Jioni Hadi Usiku Wa Saa 2.30 Usiku!!! NILIDHANI Cha Mtoto Tu, Kumbe Ni Nomaaa!!!!
Mafikizolo JF-Expert Member May 8, 2014 3,487 1,625 Feb 5, 2016 #7 Maji ni soft lakini kisanga chake ndo hivyo