Mafuriko Dar leo!

Mafuriko Dar leo!

Warren.T

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2015
Posts
900
Reaction score
318
Mafuriko Dar leo!
 

Attachments

  • 1439227700369.jpg
    1439227700369.jpg
    87 KB · Views: 1,076
Mafuriko haya lazima yamsombe fulani LOL!!
 

Attachments

  • 1439232047436.jpg
    1439232047436.jpg
    71.5 KB · Views: 629
Lumumba watakwambia kuna mtu alikuwa anagawa hela ili watu wakamsindikize.
 
Kwenyw suala la climate change tunaambiwa ukataji wa miti hovyo ndio unasababisha sana hiyo hali, ila nimegundua kumbe hata kukatana hovyo kwenye siasa nako pia kuna hayo madhara......matokeo yake ni climate change kwenye siasa, sasa mafuriko kama ile tsunami.....si tunaambiwa joto lilizidi duniani ndio ile hali ikatokea, sasa joto limezidi kwenye siasa tz matokeo yake ndio hii tsunami ya UKAWA.
 
hawa wote wana card ya kupgia kura kwel? maana inawezekana wengi wakawa ni watoto, wasio na card na wafuata mkumbo ..!!! n mtazamo wangu tuu
 
hawa wote wana card ya kupgia kura kwel? maana inawezekana wengi wakawa ni watoto, wasio na card na wafuata mkumbo ..!!! n mtazamo wangu tuu
Hata kwenye upigaji kura hao hao wanaofata mkumbo watampigia kura. Teh teh!!!
 
Nasikia ccm kupitia nepi wa bao la mkono wanafanya mazungumzo wamlete obama ndio agombee urais
 
Back
Top Bottom