Mafunzo ya web developing

Mafunzo ya web developing

Joined
Jul 21, 2022
Posts
41
Reaction score
61
MAFUNZO! MAFUNZO! MAFUNZO
📚Pata darasa la namna ya kutengeneza website from the scratch kabsa hata kama hauna programming knowledge cha msingi na sekondari uwe na sifa zifuatazo
🔰Uwe na smartphone au PC
🔰Uwe unajua kusoma na kuandka vizur
🚫kujua English sio lazima maana darasa linatolewa kwa lugha ya kiswahili

🔥 Darasa litafanyika kwa WhatsApp ndani ya week mbili kuanzia tarehe 25/7/2022
💰Kiingilio ni tsh 2000/= tu (unaruhusiwa kuanza malipo hata sasa)
NB: Utapewa nafasi ya kuulizia swali kwa kila topic....... Tutatumia language kama html, css, JavaScript na bootstrap 5...... Mwisho wa mafunzo utaelekezwa namna ya ku host kazi yako online
📚Pia utapata PDF za masomo yote bureee
Nicheki ibox au WhatsApp number. +255626044532
 
Back
Top Bottom