O Ommylady Member Joined Dec 3, 2013 Posts 23 Reaction score 4 Jun 9, 2014 #1 Naomba mnijuze yanakotolewa mafunzo ya ujasiriamali
Makirita Amani JF-Expert Member Joined Jun 6, 2012 Posts 1,914 Reaction score 3,437 Jun 10, 2014 #2 Ommylady said: Naomba mnijuze yanakotolewa mafunzo ya ujasiriamali Click to expand... Habari ndugu, nitumie email kwenye amakirita@gmail.com nitakutumia details. Karibu.
Ommylady said: Naomba mnijuze yanakotolewa mafunzo ya ujasiriamali Click to expand... Habari ndugu, nitumie email kwenye amakirita@gmail.com nitakutumia details. Karibu.
mandwa JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 1,502 Reaction score 372 Jun 10, 2014 #3 Ommylady said: Naomba mnijuze yanakotolewa mafunzo ya ujasiriamali Click to expand... Wewe nenda kule ulipotangaza nafasi za kazi ABS tunaitaji maelezo ya hizo nafasi za kazi Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Ommylady said: Naomba mnijuze yanakotolewa mafunzo ya ujasiriamali Click to expand... Wewe nenda kule ulipotangaza nafasi za kazi ABS tunaitaji maelezo ya hizo nafasi za kazi Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
kijana13 JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 1,981 Reaction score 3,635 Jun 11, 2014 #4 Ommylady said: Naomba mnijuze yanakotolewa mafunzo ya ujasiriamali Click to expand...
Ginner JF-Expert Member Joined May 8, 2011 Posts 1,576 Reaction score 2,218 Jun 11, 2014 #5 Ujasiriamali haufundishiwi wakuu.. Unless mnataka Kula pesa yake Tu. ujasiriamali Ni spirit mtu anazaliwa nayo. Mafunzo lablda yawe kuelekeza namna ya kutunza records, namna ya kusimamia mradi basi. Lakini hakuna mafunzo ya ujasiriamali.
Ujasiriamali haufundishiwi wakuu.. Unless mnataka Kula pesa yake Tu. ujasiriamali Ni spirit mtu anazaliwa nayo. Mafunzo lablda yawe kuelekeza namna ya kutunza records, namna ya kusimamia mradi basi. Lakini hakuna mafunzo ya ujasiriamali.