Mafunzo ya Ualimu 2012/2013

Kibwagizo

Senior Member
Mar 21, 2012
130
8
Jamani uteuzi wa wanachuo ulitumia kanuni gani? Kama wenye principle pass na subsidary wanaachwa, tusomee kozi gani? Je wanajanvi nisaidie kunanjiagani nyingine ili nipate nfsi ktk vyuo vya serikali?
 
Jamani uteuzi wa wanachuo ulitumia kanuni gani? Kama wenye principle pass na subsidary wanaachwa, tusomee kozi gani? Je wanajanvi nisaidie kunanjiagani nyingine ili nipate nfsi ktk vyuo vya serikali?

mkuu kutakuwa kuna vigezo ulikosea mfano labda haukupeleka vyeti vyako vikawe certified mahakamani au labda kigezo kingine coz kuna watu nawajua wana 4 za mwisho na wamepata..
 
Back
Top Bottom