Mafunzo ya practical za electronics yanaanza tarehe 2/2/2015

Transistor

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,061
Reaction score
1,640
Niliwatangazia kuhusu elimu ya electronics,napenda kuwatangazia kuwa
mafunzo haya yataanza tarehe 2/2/2015.

Mafunzo haya yanalenga katika kujifunza namna ya kubuni vifaa mbalimbali ya electronics ambavyo unaweza kuviunda na kuviuza na kujipatia kipato.

Nitafundisha namna ya kuviunda baadhi ya vifaa ambavyo mimwenyewe nimesha vibuni na kuviuza.

Pia tutabuni vifaa vingine tofauti kutokana na mawazo ya wadau.

Fika eneo la mzambarauni Gongolamboto then uliza Tallented Brothers Academy(kituo cha elimu) utatupata hapo

au unaweza kuwasiliana na mimi kwa namba hii hapa 0657-115587.

Karibuni nyote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…