MKT
Member
- May 10, 2019
- 10
- 53
Mifugo Tz inawashukuru sana SUGECO kwa kuratibu mafunzo ya kwa #vijana yalio fadhiliwa na FAO(Food and Agriculture Organization)
Tunawashukuru kwa kutambua uwepo wetu Mifugo Tz na kutupa dhamana ya kuwafundisha #vijana #mafunzo ya #ufugaji bora wa kuku.
Hii moja ya utekelezaji wa sera ya kilimo yenye lengo la kuinua #uchumi na kupambana na tatizo la #ajira kwa #vijana - Tanzania.
#Kilimo na #mifugo ndio sekta ilyio ajiri #vijana wengi hivyo maboresho na utekelezaji wa sera ya #kilimo ndio njia rahisi ya kuwakwamua kijana kiuchumi.
Kupata huduma wasiliana nasi kupitia
simu:
+255 712 253 102(WhatsApp)
+255 765 291 489
+255 625 994 023
Email:
mifugotz@gmail.com
@mifugo_tz
@kilimo_tz
@afyakiganjani
#mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #drkessyvet #kuku #broiler #tanzania l #bata #kuchi #kilimoufugaji #kilimanjaro #sungura #vifaranga #daktariwamifugo #afyakiganjaniView attachment 1101291View attachment 1101292
View attachment 1101293