Mafunzo ya mfumo wa e-Ardhi mkoani Lindi

Wizara ya Ardhi

Govt Institution
Joined
May 14, 2024
Posts
234
Reaction score
148


Mkurugenzi Msaidizi wa TEHAMA wizara ya ardhi Bw, Abisai Coy (kulia mbele), akifuatiwa na Kamishna wa Ardhi Mkoa wa Lindi, Bw. Godfrey Martin (katikati mbele), na Bw. Pastori Masua Mkurugezi Msaidizi Msajili wa hati (kushoto mbele) wakiwa katika picha ya pamoja na maafisa wataalamu kutoka Wizara ya Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Mkoa wa Lindi.

Picha hii imepigwa leo 12/09/2026 wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa hao juu ya matumizi ya mfumo wa e-Ardhi, lengo likiwa ni kuboresha na kurahisisha utoaji wa huduma za sekta ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi kwa wananchi mkoa wa Lindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…