e-ardhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Huu mfumo wa e-ardhi ni changamoto, Wizara ya Ardhi tatueni hili

    Ni mara kadhaa nimekuwa nikitumia mfumo huu wa ardhi kufanya maombi mara kadhaa bila mafanikio, kuomba upimaji, kuomba hati miliki, n.k. Unaanza vizuri ila uwezi kumaliza mchakato wowote wa maombi ya aina yoyote bila kukutana na error au failure. Error codes zimejaa katika mfumo mzima, si Web...
  2. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Anzisha maombi ukiwa nyumbani kupitia mfumo wa e-Ardhi

    Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Geita, Bw. Martin Rwegoshora, amewataka wananchi kufika katika Kliniki ya Ardhi inayoendelea katika Viwanja vya Maonesho ya Madini mkoani humo ili kupata elimu kuhusu matumizi ya Mfumo wa e-Ardhi. Bw. Rwegoshora amesema Wizara imeendelea kuingia katika mfumo...
  3. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Bodaboda Mtwara wapewa Elimu ya e- Ardhi, Wahimizwa kurasimisha Ardhi zao Kisheria

    Mtwara- Maafisa usafirishaji maarufu kama bodaboda mkoani Mtwara wamepata elimu kuhusu matumizi ya mfumo wa e-Ardhi, unaowawezesha wananchi kusajili na kurasimisha viwanja vyao ili kupata umiliki unaotambulika kisheria. Elimu hiyo imetolewa na Kamishna Msaidizi wa Ardhi (Utawala wa Ardhi), Bi...
  4. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa ardhi wamefika mji mwema kuthibitisha taarifa za upimaji kabla ya kupandishwa kwenye mfumo wa e-Ardhi

    MTWARA Timu ya wataalamu wa sekta ya ardhi tarehe 23 septemba 2026 ikiongozwa na Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Mtwara, Bw. Frederick Mrema, imefika Mji Mwema kwa ajili ya kufanya uhakiki wa taarifa za upimaji wa viwanja zilizobainika kuwa na tofauti wakati wa zoezi la upandishaji wa...
  5. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya matumizi ya mfumo wa e-Ardhi mkoani Njombe yanaendelea kuonekana

    Matokeo ya matumizi ya mfumo wa e-Ardhi mkoani Njombe yanaendelea kuonekana, ambapo wananchi wanapata huduma za ardhi ikiwemo hati miliki kwa haraka, urahisi na ufanisi kupitia mfumo huo. Mafunzo na uhamasishaji wa matumizi ya e-Ardhi yaliyodumu kwa wiki moja yamefikia tamati leo, Septemba 21...
  6. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania RC Halima Dendego akikabidhi hati miliki za ardhi zilizotolewa kwa mfumo wa kidigiti (e-Ardhi)

    Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Halima Dendego akikabidhi hati miliki za ardhi zilizotolewa kwa mfumo wa kidigiti (e-Ardhi) baada ya wataalamu wa sekta ya ardhi mkoa wa Singida kupatiwa mafunzo ya siku nane ya namna ya kutumia mfumo wa e-Ardhi. Soma Pia: Singida yaanza kutoa hati miliki za ardhi...
  7. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Serikali yasisitiza elimu matumizi ya mfumo wa e-Ardhi kwa wananchi

    KAGERA Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera, Bw. Isaya Tendega amesisitiza umuhimu wa kuendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu mfumo wa e-Ardhi ili waweze kuuelewa na kuutumia ipasavyo wakati wa kupata huduma za ardhi zinazotolewa kwa njia ya kidijiti. Aidha, amewataka wataalamu wa ardhi...
  8. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa e-Ardhi Mtwara wafanya mapinduzi makubwa: Masijala za ardhi zenye majarida sasa zahamia kidijiti

    MTWARA Mkoa wa Mtwara umeanza kushuhudia mabadiliko makubwa katika usimamizi na uhifadhi wa taarifa za ardhi kupitia Mfumo wa e-Ardhi, ambapo masijala za ardhi zilizokuwa zikihifadhiwa kwa kutumia majarida sasa taarifa hizo zinaendelea kuhamishiwa katika mfumo wa kidijiti. Hatua hiyo ni sehemu...
  9. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa ardhi Mtwara waupokea vyema mfumo wa e-Ardhi, wako tayari kuwahudumia wananchi

    📱 Huduma za ardhi sasa kiganjani!,Kupitia e-Ardhi, Serikali inaendelea kusogeza huduma karibu zaidi na wananchi, Wataalamu wa sekta ya ardhi wameupokea vyema Mfumo wa kidijiti wa e-Ardhi na kuonesha utayari wa kuutumia katika kutoa huduma kwa wananchi kwa ufanisi, haraka na kwa urahisi zaidi...
  10. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania MWANANCHI NJOMBE AFURAHISHWA NA HUDUMA YA e-ARDHI, APATA HATI NDANI YA SIKU MOJA

    NJOMBE Mwananchi kutoka Halmashauri ya Ludewa mkoani Njombe, Bw. Leonard Paul Ngimba, ameonesha kuridhishwa na matumizi ya mfumo wa e-Ardhi baada ya kufungua maombi ya hati ya umiliki wa ardhi kupitia mfumo huo na kukamilishiwa huduma ndani ya siku moja. Leonard ameyasema hayo leo, Septemba...
  11. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa e-ardhi: Mafunzo yaendelea Mtwara, Wananchi kunufaika na huduma za Ardhi Kidijiti

    Wataalamu wa sekta ya ardhi mkoani Mtwara wakiendelea kupata mafunzo ya matumizi ya Mfumo wa e-Ardhi katika Ukumbi wa Chuo cha Stella Maris, Mtwara, ikiwa ni sehemu ya juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita kuboresha na kurahisisha upatikanaji wa huduma za ardhi kwa wananchi. Kupitia mfumo huo...
  12. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Hati nne zatolewa katika Mafunzo ya Mfumo wa e-ardhi Kagera

    Tukielekea ukingoni mwa mafunzo ya mfumo mpya wa Ardhi kidijiti mkoani Kagera, wataalamu wa sekta ya ardhi wameanza kuonesha matokeo ya ujuzi walioupata kwa vitendo, ambapo hadi sasa hati nne za umiliki wa ardhi zimetolewa kupitia mfumo huo na wananchi husika wametaarifiwa kuzifata hati hizo...
  13. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Singida yaanza kutoa hati miliki za ardhi kupitia mfumo wa e-Ardhi

    SINGIDA Mkoa wa Singida umeanza rasmi kutoa hati Milki za Ardhi kupitia mfumo wa e-Ardhi ambapo sasa wananchi hawatalazimika kufika ofisi za ardhi katika mkoa huo kufuatilia maombi yao ya umiliki wa ardhi kama ilivyokuwa zamani. Bi. Nzito Enock mkazi wa Kata ya Mandewa amekuwa mwananchi wa...
  14. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mtwara kuchele! Mafunzo ya Mfumo wa e-ardhi yaanza kwa kishindo.

    MTWARA Mafunzo ya Mfumo wa e-Ardhi yameanza mkoani Mtwara, huku wataalamu wa masuala ya ardhi wakijipanga kutumia mfumo huo wa kidijiti katika kuboresha utoaji wa huduma za ardhi kwa wananchi kwa weledi, ufanisi na kwa wakati. Mafunzo hayo yanalenga kuwawezesha wataalamu wa ardhi kupata uelewa...
  15. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wananchi wahimizwa kujifunza kutumia mfumo wa e-ARDHI

    SINGIDA Wataalamu wa sekta ya ardhi Mkoa wa Singida wakiambatana na wale wa kutoka Makao makuu ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wametoa elimu kuhusu matumizi ya mfumo wa e-Ardhi na kuhimiza wananchi kujifunza na kutumia mfumo huo kwa usahihi. Elimu hiyo imetolewa leo...
  16. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya mfumo wa e-Ardhi mkoani Lindi

    Mkurugenzi Msaidizi wa TEHAMA wizara ya ardhi Bw, Abisai Coy (kulia mbele), akifuatiwa na Kamishna wa Ardhi Mkoa wa Lindi, Bw. Godfrey Martin (katikati mbele), na Bw. Pastori Masua Mkurugezi Msaidizi Msajili wa hati (kushoto mbele) wakiwa katika picha ya pamoja na maafisa wataalamu kutoka...
  17. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro waanza kutumia mfumo wa e-Ardhi

    Mkoa wa Kilimanjaro umeanza rasmi utekelezaji wa mfumo mpya wa e-Ardhi baada ya watumishi wa halmashauri saba kupata mafunzo ya siku nane, ikiwa ni miongoni mwa mikoa 11 iliyopewa kipaumbele katika robo ya kwanza ya Mwaka wa Fedha 2026/2027. Akizungumzia hatua hiyo, Kamishna wa Ardhi Msaidizi...
  18. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa ardhi Kagera watoa elimu ya mfumo wa e-Ardhi kupitia redio

    Kamishna Msaidizi wa Ardhi Mkoa wa Kagera, Bi. Florida Busheni, akiwa ameambatana na wataalamu kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, mapema leo tarehe 18 Septemba 2026 ametoa elimu kwa wananchi kupitia Redio Vision iliyopo Bukoba, mkoani Kagera, kuhusu ujio wa mfumo mpya wa...
  19. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa e-ardhi unavyofanya kazi kutoka wizara ya ardhi

    https://youtu.be/hOY_UYsoqiI?si=dlv7lgmJRF0hxHfw
  20. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania MFUMO WA e-ARDHI UNARAHISISHA HUDUMA ZA ARDHI, UNAFUNGA MIANYA YA KERO ZA VIWANJA

    ★Wizara yaweka lengo la kufikisha mfumo huo katika mikoa yote ifikapo 2027 Serikali imeongeza kasi ya matumizi ya mfumo wa kidijiti wa e-Ardhi ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za ardhi na hati miliki, huku ikilenga kuufikisha mfumo huo katika mikoa yote nchini ifikapo mwaka 2027...
Back
Top Bottom