Hivi Mkuu hakuna fundi anayeweza kumodify hiyo mashine ya 75000 akaweka kamota kadogo kakuendesha?
Kama kuna mtu namjua fundi anayeweza kufanya hicho kitu anijuze tafadhali
habari mkuu eti hii mashine ya 75000 ikoje?au ndo hizihizi za kugrand nyama ambazo c lazima 75000 cz zna bei tofautitofauti
Mkuu asante sana nipo Dar ndio.Mkuu kama uko Dar basi nenda SIDO karibia Jet. Kuna mtu anafanya hii kazi pale.
Mkuu asante sana nipo Dar ndio.
Nitafunga safari kwenda pale.Japo sijui ukifika pale unamuulizia nani maana kwenda kimguu mguu bila no ya simu ya huyo mtu unaweza usimkute aua ukakuta kasafiri
Mpigie huyu jamaa halafu muulize akupe mawasiliano ya jamaa anayetengeneza mashine za mkaa pale sido. 0767 605137
Kuna watu wamekuwa wakiniuliza kuhusu utozwaji wa ushuru unapokamatwa na trafiki inakuwaje. Maana kwa kawaida kama unasafirisha mkaa wa kawaida kwa lori kutoka mikoani kunakuwa na kulipia ushuru au tuseme faini kwa kuwa serikali inataka kupunguza uharibifu wa mazingira inajaribu kutoza kodi nyingi kuvunja watu moyo ili wasiendelee kukata miti hovyo na kutengeneza mkaa.
Kwa mkaa huu wa kisasa unapokamatwa au kusimamishwa na trafiki huwa anapouangalia na kukuta ni wa kisasa huwa anakuuliza tu umwonyeshe leseni ya biashara tu. Hii husaidia kukutofautisha na wale wanaosafirisha mkaa wa kawaida. Kifupi ni kuwa huhitaji kibali maalumu kutoka maliasili kusafirisha mkaa huu wa kisasa. Hii ni kutokana na uzoefu wangu
Nimeamua kutoa ofa nyingine ambayo wengi wamekuwa wakiiomba niwape baada ya miezi kadhaa nyuma kuiongelea katika thread hii. Mafunzo haya yanahusu utengenezaji wa kuni za kisasa kabisa ambapo haihusishi na kukata miti kabisa. Hii inahusisha recycled materials. Na material inayotumika hapa ni moja tu na haihitaji process yoyote ile ya uchanganyaji na kitu chochote kile kingine. Ni raw material moja tu.
Pia ukinunua mafunzo haya ya mkaa na ntakapokupa ofa hii ya bure pia ntakuunganisha na mwenye kiwanda anayetengeneza kuni hizi ili uende ukatembelee uone jinsi zinavyotengenezwa na pia ni wapi utanunua hizi mashine za kutengenezea hizi kuni ambazo zimekuwa zikipendwa na kutumiwa na watu kwa kuwa gharama yake ni ndogo kuliko hata mkaa wa kisasa wala huu wa kawaida. Hivyo karibuni.
View attachment 205109 View attachment 205110 View attachment 205116 View attachment 205111
Nikutumie email unitumie hiyo ofa maana nilishanunua mafunzo kutoka kwako na ukanitumia zile ofa nyingine
Ni sms email yako ntakutumia ucjali
Mkuu Biashara kwa kuwa Topic yako ya green katika video hatuwezi tena kukomenti pale naomba niulize swali la green house hapaKuna teknolojia nyingine nimeisoma mahali inahusu AGRO NET ambayo ni bei nafuu kuliko hata green houseJe hii wewe unaizungumziaje kama unajua tafadhali isije kuwa rahisi huumiza maana MAELEZO KIDOGO YAKO HIVIKampuni ni BrazAfric Enterprise (T) Ltd ...1. Kuna net za aina mbile (a) Tomato, pilipili hoho etc family matundu yake yana upana wa 0.4mm X 0.7mm - urefu wake ni mita 30 na upana ni mita 5.5 (165SQM) bei TShs. 285,000/- (Ex-warehouse Arusha). (b) Vegetable net ambapo matundu yake ni 0.7mm X 0.9mm - kwa ajili ya cabbage na mboga zinginezo zenye kuchanua majani - urefu wake ni mita 30 na upana wake ni mita 5.5 (165SQM) bei TShs. 260,000 (Ex-warehouse Arusha).2. Net hizi zinadumu kwa muda wa miaka mitatu3. Net hizi zinapunguza kwa kiasi kikubwa utumiaji wa madawa ya kuua wadudu na inaboresha afya ya mlaji.4. Ukuaji wa zao lako mara tatu zaidi (kwa muda mfupi)
Kuhusu point yako ya ukuaji wa zao k=lako mara tau iwapo utatumia net hizo. Kinachofanya zao lako liote kwa ubora zaidi na haraka haitokani na net unazotumia ila inatokana na mbegu, mbolea na utanzaji wa zao lako na si aina gani ya net unazoMkuu Biashara kwa kuwa Topic yako ya green katika video hatuwezi tena kukomenti pale naomba niulize swali la green house hapaKuna teknolojia nyingine nimeisoma mahali inahusu AGRO NET ambayo ni bei nafuu kuliko hata green houseJe hii wewe unaizungumziaje kama unajua tafadhali isije kuwa rahisi huumiza maana MAELEZO KIDOGO YAKO HIVIKampuni ni BrazAfric Enterprise (T) Ltd ...1. Kuna net za aina mbile (a) Tomato, pilipili hoho etc family matundu yake yana upana wa 0.4mm X 0.7mm - urefu wake ni mita 30 na upana ni mita 5.5 (165SQM) bei TShs. 285,000/- (Ex-warehouse Arusha). (b) Vegetable net ambapo matundu yake ni 0.7mm X 0.9mm - kwa ajili ya cabbage na mboga zinginezo zenye kuchanua majani - urefu wake ni mita 30 na upana wake ni mita 5.5 (165SQM) bei TShs. 260,000 (Ex-warehouse Arusha).2. Net hizi zinadumu kwa muda wa miaka mitatu3. Net hizi zinapunguza kwa kiasi kikubwa utumiaji wa madawa ya kuua wadudu na inaboresha afya ya mlaji.4. Ukuaji wa zao lako mara tatu zaidi (kwa muda mfupi)
vp siss ambao tulinunua mwanzoni hicho kitabu cha mafunzo ya green house maana mimi materials nimeshindwa kabisa namna ya kupata na kuijenga hiyo green house wale jamaa wa arusha nimewapigia simu hatukuelewana nikamtuma mtu aende na kaenda na ile page yenye hivo vifaa na bei zake lakn majibu yao yalinikatisha tamaa kwanza walisema hawauzi kidogokdogo hivo..bei walionipa ya vifaa ni tofauti na ile kwwnye kitabu ipo juu sana inarudi kulekule kwwny habar za milions.ndo maana na mm kama nitapata nafasi ya kwenda kuona kwa macho yangu the way hilo banda lilicojengwa atlist naeza nikapata kitu