Biashara2000
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 636
- 540
Habari.
Wiki iliyopita nilitangaza humu JF kuwa nauza moja ya mashine zangu za kutengeneza mkaa wa kisasa sababu ikiwa ni kuongeza mashine kubwa kwa ajili ya kuongeza uzalishaji. Baada ya siku chache nikafanikiwa kuiuza. Nashukuruni kwa watu wote mlioniandikia msg. Karibu wote wameniandikia wakiniomba niwaelekeze jinsi mkaa huo unavyotengenezwa. Kuna wengine wao wameniomba waje watembelee mradi waone hiyo mashine nimewapa namba yangu. Na kuna wengine wameniomba niwaeleze jinsi ya kutengeneza mkaa huu bila kutumia mashine kwa kuwa hawawezi ku afford kununua mashine hizi.
Inawezekana kutengeneza mkaa huu nyumbani kwako kama una eneo la kutosha bila kuwa na mashine. Ila utahitaji pipa au mdoo ya bati. Naweza kutoa mafunzo kwa watu wanaotaka. Gharama yake ni sh. 45,000/=. Mafunzo haya ni kwa mkazi anayeishi Dar. Kutengeneza bila kutumia mashine utakuwa unatengeneza gunia 1 - 2 au zaidi kwa siku kutegemeana na spidi ya mikono yako. So kwa kuweka investment ya 45000/=, ndani ya siku 2 za uzalishaji utakuwa usharudisha investment yako (kama utakuwa unatengeneza gunia 2). Namba yangu ni 0758 308193.
Asanteni