nimepokea ushauri wa watu wote , naomba tuzingatie wadau elimu ya kuflash sio nyepesi kiasi mtu kusema anaweza kuelekezwa kwa kutumia whatsapp.
labda tu baadh ya vitu kwa mtu amabaye tayari ameshaanza hiyo kazi maana kila siku vitu ni update na matatizo ya simu yanaongezeka.
naomba kwa ambao wanania ya kweli kama nilivyo amaua kuwezesheshana tuwasiliane nimeshapata mmoja amabaye yupo tayari kufika ofisini kujifunza
MAFUNZO NI BURE TSH 0.00 ITAPENDEZA ZAIDI